hahaha, huyu ni mwanajamvi wa JF lazima afaidi matunda ya wanaukumbi huu; but believe me hii simu ni high quality copy na kwa macho ya mtumiaji wa kawaida hataweza kutofautisha na hiyo inayosemwa original except hii ya bongo ya 1m ina warrant ya Dubai haina
Never say never. Hiyo tai uliyovaa shingoni kuna mzee wa kijijini mwenye njaa na mtoto wa kijijini asie na viatu wanakushangaa kwa kununua kamba ya shongo kwa buku 5.
Tumia hela ikuzoee
Unajua nini....kuwa nazo pesa utajua tu nini moyo unataka. Hana ndio maana anasema hivyo, ila sometimes sio lazima uwe nazo ndio ununue kuna wakati we kaza roho furahisha moyo