Samsung D780

Samsung D780

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Inakuwaje wakubwa wa kazi?
Poleni na majukumu
nimepewa simu samsung tatizo ukiweka line inaniambia phone lock,naomba mwenye kujua jinsi ya ku solve this problem,
nawasilisha shukrani za dhati.
 
google for samsung unlock codes halafu zijaribu kabla haijahitaji kufunguliwa kwa kompyuta.
 
Mkuu hiyo simu imekuwa locked ktk phone security kutunza privacy zake ili isiweze kuaccept line tofauti na hiyo iliyowekwa na mmiliki wake na solution yake ni kuweka security code alizoziweka kama anazikumbuka muwahi fasta au atie ile line alosetia.
Yangu ni hayo.
 
Poa wakuu wangu ngoja nifanyie kazi,vp kama nikiamua kuflash?
 
mi nnavojua hiyo simu yatumia double line umeeka line zote 2,
 
Poa wakuu wangu ngoja nifanyie kazi,vp kama nikiamua kuflash?
mkuu huitaji kuiflash unaitaji kutoa lock tu nijibu hili swali ukiweka line ndio inasema lock au ata ukiwasha bila ya line kama ukiwasha bila lane aisemi lock na je ni security lock au simlock? kama ni security ingiza hizi code *2767*3855# or *2767*2878# betri iwe na chaji fanya hivyo toa majibu
 
<br />
<br />
ni simlock dr,samahani kwa kuchelewa kukujibu.
 
mkuu huitaji kuiflash unaitaji kutoa lock tu nijibu hili swali ukiweka line ndio inasema lock au ata ukiwasha bila ya line kama ukiwasha bila lane aisemi lock na je ni security lock au simlock? kama ni security ingiza hizi code *2767*3855# or *2767*2878# betri iwe na chaji fanya hivyo toa majibu
<br />
<br />
kaka nikiweka line ndio inaniandikia phone lock
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom