Samsung Cloud inanimalizia vifurushi!

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu naomba msaada nini cha kufanya maana nimevumilia yamenishinda, naunga 1GB natumia kidogo tu zinakata nkicheki kwenye matumizi ya data nakuta Samsung Cloud imekula 800MB, tatizo ni nini?
 
Wakuu naomba msaada nini cha kufanya maana nimevumilia yamenishinda, naunga 1GB natumia kidogo tu zinakata nkicheki kwenye matumizi ya data nakuta Samsung Cloud imekula 800MB, tatizo ni nini??
Nenda kwenye settings yake halaf chagua nn usynk na nn usisynk.
 
Back
Top Bottom