Samsung ace vs samsung pocket nani mkali?

Samsung ace vs samsung pocket nani mkali?

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Habari zenu wana jamvi kuna mtu anauza samsung pocket for Tshs 120000/= na ace for Tshs 170.000/= nkizilinganisha sifa nkilingaanisha sifa ktk procesor na memory POCKET MKUBWA SIJAJUA kwann bei ya ace kubwa nahitaj kununua moja, nisaidien ipi ya kununua?
 
.
Ni ipi kali? Sio nani mkali?
.
Omba wakulekebishie title !
Nikisema mimi mkali utanilaumu?
.
 
galaxy ace5830i ninayo pia naiona ipo bomba tu
 
Galaxy ace iko bomba sana, ila mbona bei ni rahisi sana hiyo ni mpya au? me nimenunua karibu laki tatu hiyo
 
Weka nawe uongeze rank msema chochote habari ya ngoswe kuitwa ngoswe tulimwachia Ngoswe mwenyewe hata mazoea pia aliambiwa hivyoooo
.
Ni ipi kali? Sio nani mkali?
.
Omba wakulekebishie title !
Nikisema mimi mkali utanilaumu?
.
 
Galaxy ace ni njema kushinda galaxy pocket. Kwa camera yake ni mzuri zaidi kushinda pocket. Kama waweza pata Galaxy ace plus ndio mzuri zaidi maana ni updated version ya Galaxy ace.Memory na speed iko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom