nenda setting mobile networks, Apn
kwenye name weka yeyote ile
APN weka internet
alafu bonyeza button ya option na uisave. kisha i activate kwa kuiselect
Configuration ya intaneti simu yangu ni,SAMSUNG ACE GALAXY GT-S5830.help please.
Nashukuru kwa msaada,,ila niki save, APN kunaonekana kuko empty.So nifanyeje ili hata baada ya ku-save nikifungua MOBILE NETWORK nizikute hizo APN.