Samsung A51 VS Samsung A9 Pro (2019)

A51 ipo vizuri boss....
A9 Pro 2019 sio simu ndogo ila tatizo ni unayoilinganisha nayo.

Ila kwaa bei A9 pro 2019 ipo juu.
 
A51 ni nzuri zaidi,

hio A9 pro (A8s) ilitoka tu masoko machache hasa hasa China na Korea hivyo kuna uwezekano mkubwa ikawa ni refurbished ukiipata soko la Tanzania.

A51 ina super amoled, software mpya zaidi, na mambo mengi mapya Kushinda A9.
 
Asante sana Gif kwa msaada maana nikawa na jiuliza kwann ina bei kubwa hapo nimekupataa
 
A51 ni nzuri zaidi,

hio A9 pro (A8s) ilitoka tu masoko machache hasa hasa China na Korea hivyo kuna uwezekano mkubwa ikawa ni refurbished ukiipata soko la Tanzania.

A51 ina super amoled, software mpya zaidi, na mambo mengi mapya Kushinda A9.
Kati ya a51 na a71 una recommend ipi?
 
Back
Top Bottom