Samsung A35 original kwa dar wapi ntapata

Niemangalia kwenye page yao A35 128GB wanauza 670000 sijui ni mpya au refurbished
Phone point Dar wapo vizuri hawana bei za kijinga kama hao wanaojiita Samsung store. Wanakuwaga wa kweli kama simu ni used/refurbished wataandika. Kama hawajaandika basi mpya. Ila waulize kama ni Dubai stock au Afrika stock (yenye warranty ya miaka 2)
 
zinasafisha na dhambi hizo bei uwiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…