Kariakoo unapata chap 600k - 750k zaida ya hapo its not worth it. Pia A55 ni chaguo bora zaidi na hizo zote bei iko chini maana A36 & 56 zishatoka na zinakimbiza sokoni
Utaaminije hiyo page kuwa ni official ya Samsung bila hata kuwa na blue tick?
Hivi Samsung wana duka la reja reja la simu zao Tanzania? Sio kwamba wanatumia authorized dealers kama ma agent wa kuuza simu zao Tanzania?
Ingia Galaxy Shop kwenye simu yako Anza ku search maduka ya Samsung yaliyopo karibu yako ambapo wauzaji ni Watanzania ambao wapo authorized na Samsung.
Jua duka lipo wapi, nenda kaulizie bei. Usikubali kuuziwa Galaxy A35 kwa 950000/=