5G kuna baadhi ya mitandao yetu haina. 4G yenyewe inasumbua baadhi ya maeneo
1. Weka Auto / 3G uone km itashika au 4G
2. Angalia km simu ni ya kampuni ya simu huko ilikotoka. Mfano. Kuna baadhi ya simu zinauzwa na makampuni ya simu kwahiyo ili utumie inahitaji unlock kwanza.
3. Piga *102# au menu yoyote ya hapa Tanzania km inaleta maana kuna zingine zinagoma ku-run baadhi ya SSID Command km tigo pesa, mpesa, huduma za kununua vifurushi km *149*99#, *149*01#, *148*00# au *148*66#
4. Km namba 3 inagoma basi flash kwa global / international firmware.