Samsung A05

Samsung A05

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,609
Reaction score
8,298
Simu imezima ghafla na haiwaki tena.
Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
 
Ao5 si bado ina warranty ya 2 years kapewe mpya ila kama umepeleka kwa mafundi wa uchocholoni wameifungua apo kanunue nyingine ama badirisha display
 
Hii simu ilo kwenye list ya simu za mkopo.
Wenye simu wamefanya yao na hasa kama ulinunua second hand umepigwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom