Inaweza kushuka hasa kulingana na storage na ram
Maana ram inacheza kati ya 2GB-6GB
Internal storage kati ya 32GB-128GB.
Hio ndio inaamua bei kupanda na kushuka.
Naomba msaada na mm hapa jamani. Brand Samsung au Nokia. Budget laki 5.
Betri angalau siku 1 nzima au 2.
RAM (ROM) nzr. Internet iwe na kasi.
Storage ikiwa ya kutosha ita pendeza pia.
Naomba msaada na mm hapa jamani. Brand Samsung au Nokia. Budget laki 5.
Betri angalau siku 1 nzima au 2.
RAM (ROM) nzr. Internet iwe na kasi.
Storage ikiwa ya kutosha ita pendeza pia.