Chadema ni kikundi chenye sifa ya kuwa na Ndimi mbili kama swira(nyoka)
Raila Odinga Kenya wananchi na taasisi muhimu zinamuelewa kwakuwa anasimamia anachopigania, Mbowe haaminiki, haeleweki kwakuwa si baridi wala si moto(Vuguvugu) pia ni popo
Mbowe anayemshutumu muda si punde ndiye Swahiba wake mkubwa ilimladi apenyeze rupia hata kama wanachama wake watamshangaa na yeye atawashangaa kwa kitendo cha kumshangaa
Wanaoondoka Chadema wanatuhumiwa kupenyezewa rupia nami naweza kukubali kama ambavyo ningeweza kukubali Mh.Mbowe kupenyezewa rupia na kubinafsisha Chama chake.
Hawezi acha huyo kea sasa Lumumba wanajitahidi kupost upupu ili boss awaone wapate teuzi si unajua kuna nafasi wazo Kagera?so wanagombea teuziHuyu anatapata kama yule jamaa wa Pingu yule aliyekuwa msemaji wa klabu fulani
Naona niongee kijita Mwigamba atanielewa
"Kutiki masika Chikaka ouchiswasya abhajita ti bhanu bha masoro siga amasoro mwanawasu
Wewe ndo huna msimamo sijui mjita pori wa wapi acha propaganda zako
Sina chama ambacho mimi ni mwana chama wake but kabla ya kulinganisha hawa wahamaji hebu jiulize; katika kuhama nani anapoteza nini!? Hivi mtu anaye toka upinzani na kwenda ccm unaweza sema ni mzalendo kweli!?Mwigamba kuhama ni njaa Nyalandu kuhama ni kamanda na shujaa hahaaaaaa ujinga wa kiwango chja kudeki lami
Alipotoka CHADEMA akaenda ACT alikua anatafta uteuzi gan huklo ACT?Sina chama ambacho mimi ni mwana chama wake but kabla ya kulinganisha hawa wahamaji hebu jiulize; katika kuhama nani anapoteza nini!? Hivi mtu anaye toka upinzani na kwenda ccm unaweza sema ni mzalendo kweli!? Siamini cause ccm yapo maslahi lakini mtu anaye toka ccm kwenda upinzani (kwa case hi tumjadiri Nyarandu) anapoteza ubunge wenye marupurupu kibao (Enzi ya JK walikua wanakwenda na kama Tsh 12M) halafu aende upinzani, huko anapata nini!? Is like kwenda upinzani ni kupoteza kila kitu but kwenda ccm is for gain. Mwigamba awe tu mkweli, kundi lake karibu wote waliofukunzwa sasa hivi wana kula kwa mrija, Juliana Shonza, Kitila Mkumbo, mama yule Ex mwenyekiti wa Agizo la Chama Tawala, mbona wote hawa wamepata SHAVU!? Who know Mwigamba ataramba nini kesho!?
Hahahahahaha pole kazana nafasi mbili zimeachwa wazi kagera you never know unawezaonekana ukapata ukurugenziwewe umekuja kutoa upup ili uteuliwe na Mbowe?
Hawezi kuwa na mantiki maana hana ujasiri wa kuwa objective mkuu.Tusimshambulie Mwigamba hebu tujiulize alichokisema kina MANTIK na kama kipo je yupo sahihi au
Fatilia tu uanzishwaji wa hicho chama na jinsi kilivyo kua na resources kibao kwa muda mfupi ili hali hakina source of fund inayo julikana; hakikua na ruzuku wala chochote but nini au wapi walitaka kufanya au kwenda na wakashindwa kwasababu ya pesa!? Fikiria tu kwa kutumia akili yako ulio pewa na Mungu na sio mahaba na chama chochote.Alipotoka CHADEMA akaenda ACT alikua anatafta uteuzi gan huklo ACT?
Mazingira yao yanatofautiana. Huyu kaacha na cheo kutoka chama chenye ukwasi wa kutosha, lakini huyu mwingine kaacha msimamo wake kwa vile hana lishe na kukimbilia makombo chini ya meza wakati mmwaga makombo hajabadilika. Ni njaa hiyoMwigamba kuhama ni njaa Nyalandu kuhama ni kamanda na shujaa hahaaaaaa ujinga wa kiwango chja kudeki lami
CHADEMA walisema ACT imeanzishwa na Lowasa ili akikatwa CCM akimbilie huko so ni kwel?Fatilia tu uanzishwaji wa hicho chama na jinsi kilivyo kua na resources kibao kwa muda mfupi ili hali hakina source of fund inayo julikana; hakikua na ruzuku wala chochote but nini au wapi walitaka kufanya au kwenda na wakashindwa kwasababu ya pesa!? Fikiria tu kwa kutumia akili yako ulio pewa na Mungu na sio mahaba na chama chochote.
CCM kuna ukwasi gan wa kutosha?Hebu tusaidieMazingira yao yanatofautiana. Huyu kaacha na cheo kutoka chama chenye ukwasi wa kutosha, lakini huyu mwingine kaacha msimamo wake kwa vile hana lishe na kukimbilia makombo chini ya meza wakati mmwaga makombo hajabadilika. Ni njaa hiyo
Yeye alishakuwa mwenyekiti wa chadema mkoa ndio anajua chadema ilivyo. Ss ww mwenzangu na mm hata kadi ya uanachama huna unajifanya mjuajiMwigamba ni ndumila kutatu,CCM-CHADEMA-ACT-CCM........JELA.....Ndumila kutano