Samson Mwigamba aelezea makucha ya Mbowe na CHADEMA

Sasa kakuambia anamchukia mbowe au amekana mbowe hajamkuza kisiasa??ameeleza mbowe kabadili gia angani ..na hio mwenyekiti bora afrika umeinukuu chombo kipi cha habari?ameainisha jinsi mbowe katumia mabavu kujieka mwenyekiti wa kudumu,jinsi asivyokua na demokrasia na jinsi alivyokua na uchu na utawala kiasi chA kuondoa wale waliompinga kwenye kuendesha chama
 
Waasi ni nyie mnaopinga utawala sio mtu anayetetea taifa lake uyo ni mzalendo..rejea kamusi usome maana ya uasi
 
mtu anapokuwa ccm huwa naona kama hayuko serious
Funga macho maana ni hakuna unachokiona..ondoa uchama waza kama raia wa Tanzania. Tanzania ni taifa linaweza jengwa hata bila vyama hizo ni hints za kukusaidia wewe kufikiri
 
Huyu nae tangu wamtumie kama condom kisha kumtupa amekuwa kimya sn cku hz so anatafuta jins ya kurudi tena kwenye media
 
"Nataka kuwahakikishia wanachadema wote kuwa nimekuwa ndani ya Chadema kuanzia 1998 ambapo nilikuwa Makamu Mwenyekiti Bara, na baadaye 2003 Kaimu Katibu Mkuu, na hatimaye Katibu Mkuu, hivyo nimeshiriki kikamilifu kuandaa Katiba ya 2004 na pia Katiba ya 2006 baada ya Rebranding ya Chama.

"Nataka niwahakikishie wanachadema, hakuna toleo lolote la Katiba ndani ya Chadema imeweka " muda wa Uongozi kuwa vipindi viwili tu", kuanzia Katiba aliyoiasisi Mzee Mtei na kupitishwa na Mkutano Mkuu, wala si ya 2004 au ya 2006.

"Kama kuna mtu anasema ilikuwepo na imeondolewa kinyemela, basi aonyeshe kifungu hicho kwenye Katiba yeyote ile, au miniti za kikao chochote kile."
Haya ni maneno ya Dr. Slaa. Kama kuna mtu ana ushahidi wa Katiba iliyochakachuliwa ili Mbowe aongoze "Milele" alete hapa tulinganishe na hoja hizi.
 
Huyu nae tangu wamtumie kama condom kisha kumtupa amekuwa kimya sn cku hz so anatafuta jins ya kurudi tena kwenye media
hadhi yake iliyobaki ni kuandikwa kwenye kipeperushi cha jamvi la habari
yani hata hadhi ya kuandikwa kwenye to.ilet paper uhuru na mzalendo hana!!!
 
Funga macho maana ni hakuna unachokiona..ondoa uchama waza kama raia wa Tanzania. Tanzania ni taifa linaweza jengwa hata bila vyama hizo ni hints za kukusaidia wewe kufikiri
kuna chama nimekitaja kuwa kinafaa kuwepo au unajifanya na wewe unaongea big kama sisi!!!
 
Maneno hayo dr.Slaa aliyasema kimaslahi wala haezi sema leo hadharani ni kama vile mbowe alivotumia miaka kuwatukana sumaye,nyalandu,lowasa na kutumia siku moja kuwasafisha
 
kuna chama nimekitaja kuwa kinafaa kuwepo au unajifanya na wewe unaongea big kama sisi!!!
Hakuna kitu kama kuongea big huo upuuzi ndio unafanya uandike utaila..hujasema ukiona mtu yuko ccm unaona hayuko serious??
 
Maneno hayo dr.Slaa aliyasema kimaslahi wala haezi sema leo hadharani ni kama vile mbowe alivotumia miaka kuwatukana sumaye,nyalandu,lowasa na kutumia siku moja kuwasafisha
hata asipoyasema lakini ukweli upo kwenye hiyo kauli yake kuhusu ukomo
sasa ayaseme asiyaseme haibadilishi ukweli
umesahau kuwa kwenye list of shame slaa alimtaja magufuli na alisema akiwa rais atamfunga
 
Nakumbuka,nakumbuka pia kipindi kile ccm imejaa mafisadi na hela za nchi zillikua zinatafunwa na viongozi..hiki ni kipindi kingine cha hapa kazi tu hakuna fisadi tena amka!!
 
akili ndogo wewe
nilisema chama mbadala nilipoandika hivyo?!!!
go back to school
Sijaona mtu anarudi shule kwa kutofautiana fikra ila nakumbuka hata uko shule tumetofautiana fikra na walimu kwa wanafunzi pia..achana na mambo mengine tulijenge taifa letu
 
Nakumbuka,nakumbuka pia kipindi kile ccm imejaa mafisadi na hela za nchi zillikua zinatafunwa na viongozi..hiki ni kipindi kingine cha hapa kazi tu hakuna fisadi tena amka!!
aisee
una roho ngumu sana wewe
hakuna ufisadi!!!!!
unaujua ufisadi wa kwenye vitambulisho vya nida?
hiyo ni moja tu
 
aisee
una roho ngumu sana wewe
hakuna ufisadi!!!!!
unaujua ufisadi wa kwenye vitambulisho vya nida?
hiyo ni moja tu
Wewe unaujua kabla ya vyombo vya habari na serikali..wewe ni muhusika wa huo ufisadi?maana hakuna habari rasmi kokote Tanzania hii,una ufisadi kichwani mwako unatumia akili zako kueleza propaganda
 
Wewe unaujua kabla ya vyombo vya habari na serikali..wewe ni muhusika wa huo ufisadi?maana hakuna habari rasmi kokote Tanzania hii,una ufisadi kichwani mwako unatumia akili zako kueleza propaganda
kwenye maandishi mekundu pamenifanya nikwambie usiku mwema
nimeshajua naongea na mtu wa level gani
kamalizie semester ya mwisho ndugu usije ukafeli UE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…