Andika talaka.
Nenda stationary ukatoe copy ziwe tatu, hapo utakua umemaliza mchezo, na hizo ndio talaka 3.
Matumizi yake ni kua moja atasaini na kukuachia wewe, moja ya kwake na ya mwisho atawapa wazazi/walezi wake.
Jamani mi ni mkristo.....sio mwislamu. Bakwata hapanihusu...wala kwa shekh
Anasaini "receiver" kama "acknowledgement" ili asije kukataa huko mbele ya safari kua hakupewa!!Hahaha kumbe talaka ina signature kama cheti cha ndoa khaa. Ila kweli sijawahi ona talaka na ujanja wote huu.
Vipi miss chagga ndoa yako ilinusurika?Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.
Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.
Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
Talaka huwa hivi. Kuanzia Leo wewe c mke wangu. Hiyo ni moja au nimekuacha nayo ni talaka moja. Au unajuwa wewe ni kama mama yangu nayo ni talaka. Hakuna Talaka tatu kwa mara moja
Vipi miss chagga ndoa yako ilinusurika?
ndiyo ujue ukienda bar uwe unauliza huyu mbuzi wa ndani au wa nje? kama wa nje ujue ladha yake ni mbayaMbona hatari hii.... Kumbe ndio maana siku hizi supu ya mbuzi hata sio nzuri kumbe wanakula mifuko ya rambo... Na maboksi ya juisi za bakhresa..... Alaaaaaaah
Kitu talaka ya tatu hii. Kuanzia leo tarehe 07/11/2013 mimi kwamtoro Sudi Masudi nakuacha happiness win kwa kosa la kukukamata ugoni na kb52
Mashadi wangu wa tukio la ugoni ni Jewel shinjikazola na Ziltan
Ukitoka njee ya mlango wa nyumba hii toka leo, atakaye penda kukuoa upo sahihi kumkubali kwa sababu wewe auna mume.
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.

.
Jamani mi ni mkristo.....sio mwislamu. Bakwata hapanihusu...wala kwa shekh