Samora Avenue / National Housing

Samora Avenue / National Housing

commonmontana

Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Wanajamvi habarini za mihangaiko? Naomba mnisaidie kunielekeza mahali lilipo Jengo la SAMORA AVENUE / NATIONAL HOUSING. Nikiwa natokea Ubungo nipande magali ya wapi mpaka nifike hapo?

Natanguliza Shukran!
 
Panda za posta /kivukoni
 
Samora Avenue ni jina la mtaa ambao unaweza ukakufikisha kwenye ofisi za NHC! Panda basi za posta, shuka posta mpya. Utakapoiona Samora Avenue, nyoosha nayo kama unaenda stesheni mpaka utakutana na hizo ofisi.....au just along the Samora Avenue unaweza uliza ofisi za NHC zilipo, utaelekezwa.
 
Panda gar mpk posta mpya tembea mpk kwa askar then kata upande wa kulia nyosha mpk karibia na mtaa wa zanaki hapo ukiulizia umefika
 
Watu wa dizain hii wanakela sana Bro, they can't be serious! Thanks for concern friend!
 
Wanajamvi habarini za mihangaiko? Naomba mnisaidie kunielekeza mahali lilipo Jengo la SAMORA AVENUE / NATIONAL HOUSING. Nikiwa natokea Ubungo nipande magali ya wapi mpaka nifike hapo?

Natanguliza Shukran!

kwa kuongezea tuu hapo mtaa wa Samora ukifika jengo la TTCL extelecoms basi uliza yeyote yule atakuonyesha! au hapo TTCL ulizia wale walinzi watakuonyesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom