Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Bi mkubwa anaendelea kuwatisha watanzania ambao wapo tayari kutetea nchi yao.
Ila hivi vitisho vina mwisho wake kwa wale wote wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania wengine.
==========
"Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndani ya Taifa hili vimejipanga vyema, tumevijengea uwezo wa kutosha, vimejipanga vyema na tupo salama wakati wote. Iwe wakati wa uchaguzi, iwe hakuna uchaguzi, tupo salama.
"Hivi vitisho vidogo vidogo wanavyovifanya waulizeni. Sisi tupo salama wakati wote, na niwatoe hofu wananchi kwamba tokeni, kapigeni kura, tupo salama," Dk. Samia Suluhu Hassan, Mgombea urais kupitia CCM akizungumza na wananchi wa Ilala mkoani Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025.