Samia unataka kuridhiana na nani wakati maelfu ya vijana wa Tanganyika wameuwa wasio na hatia yoyote?

Samia unataka kuridhiana na nani wakati maelfu ya vijana wa Tanganyika wameuwa wasio na hatia yoyote?

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
28,209
Reaction score
56,810
Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote?

Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo yote. Ulipokaribia uchaguzi ukamweka Lissu ndani bila kosa kwa kuogopa ushindani. Siku ya uchaguzi ukadanganya umeshinda kwa asilimia 98 wakati kura hazikupigwa.

Vijana wa kitanganyika walipotoka kudai haki ukaagiza wauawe wengi kadiri iwezakavyo ili watu watishike. Halafu leo unasema maridhiano... karidhiane na ibilisi ndiyo aina yako! Hatukutaki muuaji wewe!
 
Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote? Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo yote. Ulipokaribia uchaguzi ukamweka Lissu ndani bila kosa kwa kuogopa ushindani. Siku ya uchaguzi ukadanganya umeshinda kwa asilimia 98 wakati kura hazikupigwa. Vijana wa kitanganyika walipotoka kudai haki ukaagiza wauawe wengi kadiri iwezakavyo ili watu watishike. Halafu leo unasema maridhiano... karidhiane na ibilisi ndiyo aina yako! Hatukutaki muuaji wewe!
Hahahaha😂😂😂
 
Hakuna maridhiano bila miili ya waliouawa.....
 
Kuna muda nahisi hawa viongozi wetu wamechanganyikiwa

Unatumia nguvu, unaua, unateka ,unaiba uchaguzi, alafu ukishamaliza kulinda nafasi yako unatangaza maridhiano, alafu baada ya maridhiano unaanza tena kuteka na kuua. Smh
Wanajua aina ya watu wanaowaongoza ni wenye huruma, wasahaulifu,waoga, wajinga na masikini kwa hiyo wanapanga mambo yao kwa njia yoyote ile yafanikiwe baadae waje kuwabembeleza then yanaisha.
 
Hakuna maridhiano na wauaji.

Kama anataka maridhiano aende Kondo pale kwenye kaburi la halaiki walipofukia maiti zile.
Kiuhalisia wengi hawayataki haya maridhiano ya kitapeli. Atafanya kama alivyofanya kwenye kuunda kamati ya uchunguzi wa matukio ya Oct29. Atajichagulia then atafanya nao maridhiano kama ya wazee wa Dar then imekwisha hiyo mwendo mdundo.
 
Wataridhiana hotelini na CCM wenzie itakua kama hilo genge la Chande linalosema linahoji wahanga wa October 29 wakiwa ukumbini.

Kama wanajiamini kwanini wasiingie mitaani yalipotokea mauaji wakawahoji watu huko.
 
Back
Top Bottom