Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana.
Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno