Tunasubiri kwa hamu kuona ikitangazwa kitaifa siku hiyo tukiwaona kwenye Tv mkipiga ngoma mkiwa mmebeba picha za maiti zile mkimtukuza Allah kwa kuwasaidia kuwaangusha maadui waliotaka kuwapora ugali wenu ...😁Uongozi ni mchakato. Kila kinachokuwa ndani ya mchakato lazima kifuate ratiba.
Rais ni kiongozi wa taasisi anazungukwa na washauri wengi. Tuvute subira naamini hilo linakuja.