mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,412
- 5,151
HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Ameshinda hajaapishwaHOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Sio Rais wa TanzaniaHOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Huyu sheitwaaana lazima arudishwe kwao na mabwwaaana zaake. Hii ya kuzima internet itawamaliza kama ilivyokuwa NepalHOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Naweza tu! …Hivi hapa duniani kuna addiction inayoizidi addiction ya political power? Mtu yuko tayari kuona mamilioni ya wananchi wakiuawa mradi yeye abaki madarakani. Hatari na nusu!HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Mwambiye tumempigia kura wote na kashinda kwa asilimia 98 basi awashe intarnet tatizo nini?Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
Huyu ni mwepesi mnoo, na alikua amekwishakubaliNaweza tu! …Hivi hapa duniani kuna addiction inayoizidi addiction ya political power? Mtu yuko tayari kuona mamilioni ya wananchi wakiuawa mradi yeye abaki madarakani. Hatari na nusu!
Are you shure yameisha?Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
One thing hatuna sasa ni CDF, he failed watanzaniaP
Huyu ni mwepesi mnoo, na alikua amekwishakubali mziki ,sema tuna Jeshi la kikuma sana, especially CDF
Such a useless man!! Yuko radhi aendelee kuhongwa kuliko yeye kua the top dog..adui wa nchi yetu ni ujingaOne thing hatuna sasa ni CDF, he failed watanzania
Maandamano hayajaishi , and Tanzania under Samia regime, hakutakua na amani kamwe.Are you shure yameisha?
HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Kuna hata haja gani ya kuapishwa?Ameshinda hajaapishwa
Ni vigumu kwa mapinduzi ya kiraia kukamilika ndani ya siku tatu. In recent history, successful popular uprisings elsewhere (Egypt, Nepal, Madagascar, etc) zimedumu kwa takribani wiki moja au zaidi.P
Huyu ni mwepesi mnoo, na alikua amekwishakubali mziki ,sema tuna Jeshi la kikuma sana, especially CDF
Of course, labda yaanze mengineAre you shure yameisha?
Pole sana ask againOf course, labda yaanze mengine