Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Naona kama Samia anawatisha wapinzani wake! Hata hao wapinzani wanauwezo wa kuongeza nchi na kupata uzoefu na kuleta maendeleo makubwa kwenye nchi
Mbona wale CHADEMA mnawaletea figisu kila kukicha? Kama nyinyi mnajiona mnauzoefu, wekeni mpira kati kila mtu ashinde mechi zake sasa
======================
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kutafakari kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa, akisisitiza kwamba uongozi wa nchi unahitaji uzoefu na uwezo wa kusimamia masilahi ya wananchi.
“Ninataka niwaambie jambo moja kwamba katika uendeshaji wa nchi, hakuna majaribio. Unampa nchi yule ambaye unamuamini ataiendesha vyema na masilahi ya wananchi yatapatikana,” amesema Dkt. Samia.
“Mkiwapa wengine au serikali au jimbo wanakuja kuwafuja, wanakuja kuwapoteza kwasababu wakiingia kwanza ni kujifunza, lakini utakapompa jimbo asiye Chama Cha Mapinduzi anakwenda kuongea na nani? Anakwenda kumuomba barabara nani? Anakwenda kumuomba maji nani? Kwasababu mwenye serikali ni Chama Cha Mapinduzi, yeye ni mpinzani