Samia tunakupenda, piga kazi

Samia tunakupenda, piga kazi

Kazi yake tuliiona.

Siku yake pia inakuja.
20260219_092408.jpg
 
Tunakuombea na tunakupenda Rais wetu.

Piga kazi , tupo nyuma yako madame.
Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa.
Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali hupooza hasira au ukali wa Jambo kwa muda mfupi tu.

Upole ni karama ya Roho Mtakatifu, imetoka kwa Mungu, mtu anaweza kuwa muongeaji sana ana vituko na vibweka vingi lakini Nani mwake akawa ni mpole aliyejawa na matendo ya huruma na mwenye hofu ya Mungu.

Ukimya ni hali ya kukaa kimya tu ili uonekane mbele za watu kwamba wewe ni mpole lakini katikati ya ukimwa wako huo ukawa ni mkatili, muuaji na mshenzi na dhalimu daraja la Kwanza.

Sasa ndugu wewe uliyeua maelfu ili utamalaki, alipokufa jirani yako kwa kuuawa kinyama ulisema kifo ni kifo tu, msilete taharuki.

Watoto wa mjomba wako wanatekwa wanapotezwa na kuuawa unaona POA tu.

Juzi kati umeamuru watoto kutoka nchi jirani waliuliwe kwa makumi elfu, Mara tena ukasema sio watoto wa majirani ila watoto wa mdogo wako.

Hukuwahi kuonesha kujuta wala kutubu kwa uovu huo, hadi sinagogini wakakusuta, sasa ndio unajidai kuasili mtoto.

Watanzania sio mazumbukuku, wewe ni muuaji, wewe ni Yezebeli unayenuka damu za watu wasio na hatia.

Umeasili mtoto ili upate bebeo la kisiasa na utengeneze kiki ili kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, na ChoiceVariable wakuone wewe ni mtu wa maana kumbe kibwengo tu
 
“atupe kwanza miili ya ndugu zetu aliyoificha tukazike ndio tutamuelewa” au “ afufue kwanza ndugu zetu alioua ndio tutamuelewa’
 
Back
Top Bottom