GE2025 Samia: Tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
“Tunakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu. Nawaomba sana ndugu zangu, twende tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia – watu kwenda kwenye utaratibu uliowekwa, kuweka kura zetu, kurudi nyumbani na kutulia ili nchi ibaki salama.

Si kila mara kushika silaha kunaleta suluhu ya maana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni jambo muhimu kuliko yote. Hutaki kishindo? Kapige kura, kisha rudi nyumbani na utulie,” alisema Rais Samia.

mungu atusaidie na aturehemu tupo kwnye kipind kigumu sana
 
“Tunakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu. Nawaomba sana ndugu zangu, twende tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia – watu kwenda kwenye utaratibu uliowekwa, kuweka kura zetu, kurudi nyumbani na kutulia ili nchi ibaki salama.

Si kila mara kushika silaha kunaleta suluhu ya maana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni jambo muhimu kuliko yote. Hutaki kishindo? Kapige kura, kisha rudi nyumbani na utulie,” alisema Rais Samia.

Sasa kama uchaguzi siyo vita, ni tendo la demokrasia! Kwa nini wengine wananyimwa haki ya kushiriki? Kwa nini vitisho vimetamalaki?
Aisee Mwenyezi Mungu atuepushe na hili balaa.
 
“Tunakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu. Nawaomba sana ndugu zangu, twende tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia – watu kwenda kwenye utaratibu uliowekwa, kuweka kura zetu, kurudi nyumbani na kutulia ili nchi ibaki salama.

Si kila mara kushika silaha kunaleta suluhu ya maana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni jambo muhimu kuliko yote. Hutaki kishindo? Kapige kura, kisha rudi nyumbani na utulie,” alisema Rais Samia.

Summary

On 14 July 2025, five United Nations Special Rapporteurs submitted a joint communication to the Government of the United Republic of Tanzania, demanding urgent answers on serious and escalating human rights violations. These violations centre on the politically motivated arrest and detention of opposition figure Tundu Lissu, the enforced disappearance of human rights activist Mpakaida Ngayai (known widely as Mdude), and the state-directed nationwide blocking of the social media platform X (formerly Twitter). The UN experts raise concerns that these acts form part of a deliberate crackdown on dissent in the lead-up to Tanzania’s October 2025 general elections.

🧠 Analysis

The letter from the Special Rapporteurs is unprecedented in its directness and scope. It accuses Tanzanian authorities of orchestrating a pattern of politically targeted repression through arbitrary arrests, enforced disappearances, digital censorship, and judicial abuse. The timing—just months ahead of general elections—adds to the gravity, suggesting that the Government may be attempting to dismantle opposition operations before the campaign period begins in earnest.
 
Back
Top Bottom