Samia Suluhu ni mbio za sakafuni zinazoelekea ukingoni

Samia Suluhu ni mbio za sakafuni zinazoelekea ukingoni

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,032
Reaction score
15,569
Yohana 11: 49 Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, aliyekuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote! 50 Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?”

Maneno hayo ya Kayafa ndio SOP ya mataifa mengi duniani, mifumo ikiona mambo yanazidi kuwa mabaya huwa na machaguo mawili, nchi nzima au mtu mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom