Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali.
Akizungumza leo, Jumanne Oktoba 7, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Misungwi mkoani Mwanza, Samia amesema hatua hiyo inalenga kuongeza usalama wa wananchi, hususan wanawake wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli za kijamii na kiuchumi.