ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,080
- 84,972
Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Mikoa mingine ilitengwa na kuonekana eti haifai kuwa na huo Kikuu.Hiyi dhana ya kipuuzi ilikataliwa na mama WA maono ambapo alianzisha Mpango wa kujenga Vyuo Vikuu na matawi yake Mikoa yote Tanzania.
Kutokana na maono hayo Sasa ndipo Mikoa iliyobezwa ikapata Vyuo Vikuu mfano
Rukwa-MUST & Teachers College
2. Simiyu-TIA
3. Manyara-TIA & ICT Centre of Excellence
4. Kigoma-Muhimbili University Campus
-TIA
- Chuo Cha Hali ya Hewa
5. Tabora
6 .Katavi-Sokoine University of Agriculture Campus
7. Lindi
-Udsm Campus
- Chuo Cha Mafuta na Gas
8. Kagera
-Udsm University Campus
9. Tanga
-Mzumbe University
10. Njombe
- Udom Campus
11 . Dodoma
12. Geita
-Chuo Cha Madini
My Take
Kiufupi hakuna Mkoa hajajenga Chuo Kikuu.
Huyu ndio Samia Mama wa Uchumi wa Tanzania.
View: https://www.instagram.com/p/DU6ZVkXDm2-/?img_index=1&igsh=MWMyNHBqbHdtc2NyOA==

- Chuo Cha Reli
- Chuo Cha Ardhi
6 .Katavi-Sokoine University of Agriculture Campus
7. Lindi
-Udsm Campus
- Chuo Cha Mafuta na Gas
8. Kagera
-Udsm University Campus
9. Tanga
-Mzumbe University
10. Njombe
- Udom Campus
11 . Dodoma
- Dodoma Technical College
- Chuo Cha Madini