ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,973
- Thread starter
- #41
Wameanza kudahili hapo lindi?Lindi
Unakosaje maoni au hautaki 4000 leo?sina maoni zaidi![]()
relax with your nonsense gentlemanUnakosaje maoni au hautaki 4000 leo?

Pigania ugali ooohrelax with your nonsense gentleman![]()
ongeza bidii kupigania nonsensePigania ugali oooh

Au siyo? Hater wa Chadomo mtapata tabu sana? 👇👇
Chadomo mnahangaika kubisha ukweli 🤣🤣Wanapambania vifuta jasho vyaoView attachment 3546369
Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Mikoa mingine ilitengwa na kuonekana eti haifai kuwa na huo Kikuu.Hiyi dhana ya kipuuzi ilikataliwa na mama WA maono ambapo alianzisha Mpango wa kujenga Vyuo Vikuu na matawi yake Mikoa yote Tanzania.
Kutokana na maono hayo Sasa ndipo Mikoa iliyobezwa ikapata Vyuo Vikuu mfano
Rukwa-MUST & Teachers College
2. Simiyu-TIA
3. Manyara-TIA & ICT Centre of Excellence
4. Kigoma-Muhimbili University Campus
-TIA
- Chuo Cha Hali ya Hewa
5. Tabora
- Chuo Cha Reli
- Chuo Cha Ardhi
6 .Katavi-Sokoine University of Agriculture Campus
7. Lindi
-Udsm Campus
- Chuo Cha Mafuta na Gas
8. Kagera
-Udsm University Campus
9. Tanga
-Mzumbe University
10. Njombe
- Udom Campus
11 . Dodoma
- Dodoma Technical College
- Chuo Cha Madini
12. Geita
-Chuo Cha Madini
My Take
Kiufupi hakuna Mkoa hajajenga Chuo Kikuu.
Huyu ndio Samia Mama wa Uchumi wa Tanzania.
View: https://www.instagram.com/p/DU6ZVkXDm2-/?img_index=1&igsh=MWMyNHBqbHdtc2NyOA==
Nawaombea kwa mungu wale wote waliouwawa kwa risasi hapo October 29 na kuendeleaUongo uko wapi tueleze na sisi wapambaji tuujue
Kwa kazi nzuri kama hizi alitakiwa kushinda Kwa asilimia 100%ndiyo raisi wa kwanza kushinda kwa asilimia 98 tena katika uchaguzi ambao watu waliususua (NO REFORMS NO ELECTION) Waliowengi hawakupiga kura. badala yake walimu na wasimamizi wengine walifungiwa kwenye ofisi ili watiki kwa samia, wabunge na madiwani. unapata kura 89% kisha unakimbilia ngerengere jeshini kujificha
ndiyo raisi wa kwanza kuamuru wanajeshi wa wamiminie watu wake risasi. watu walipigwa risasi wakiwa madukani, kwenye kahawa na kwenye vvibanda umiza
twambieni wale mlio wauwa hapo tarehe 30 october kulikuwa na maandamano wapi ? saa ngapi?
SAMIA NI MUUAJI, HATA APAMBWE VIPI HISTORIAA ITAMKUMBUKA
Waliopata shida Kwa sababu ya kusababishiwa hao wanastahili pole na fidia ila wale wahuni walioshiriki kuleta vurugu wanatakiwa wakashitakiwe kwa uhaini.Nawaombea kwa mungu wale wote waliouwawa kwa risasi hapo October 29 na kuendelea
Namuombea mabaya yote yamfike aliyesababisha unyama ule