Samia na mashehe watatufikisha wapi kama taifa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
1767635163667.png

Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa.

Tangu yafanyike maandamano ya Oktoba 29, waliokuwa wamejificha nyuma ya pazia wamejitokeza wazi wazi. Baada ya tukio hili lililoishangaza dunia na kuitetemesha serikali ambayo wanaharakati huiita haramu, tumejua kuwa kumbe mashehe na ni wadau katika kuitawala Tanganyika.

Hawaitawali tu bali hata kuirarua kama mafisi yenye uchu. Wameonyesha kukubuhu kwa uchu, uzwazwa, kujikomba na kujipendekeza huku wengine wakitutangazia wazi azi kuwa atakayempinga mpendwa wao Samuya watamkata kichwa. Je hawa waliofunga ndoa hii ya kigaidi watatufikisha wapi Tanganyika?

Je, tukae tungoje watumalize au tuashughulikie kabla hawajfanikisha jinai yao?
Napiga kelele kimya kimya na kushangaa bila kushangaa kwa ninavyoshangazwa na kushangaa.
AMKENI WATANGANYIKA TUONDOE UCHAFU HUU HARAKA IWEZEKANAVYO.
1767635204305.png
 
Tukisema tunapoelekea Samuya anaigawa nchi.

Na sio dini ila anataka ukabila wake kutawala Tanganyika.

Upande wa dini Watanganyika mtavurugwa ila Visiwani wanataka warudishe makoloni yake ipo siku.

kama Waomani wanadai kuwa koloni lao basi washirika wanatafuta soma hapa kama hii habari kama wanajisifu baada Venezuela kuchukuliwa,walikuwa wapi mpaka waseme hivyo.
Screenshot_20260105-193010.png
 
View attachment 3525735
Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa.

Tangu yafanyike maandamano ya Oktoba 29, waliokuwa wamejificha nyuma ya pazia wamejitokeza wazi wazi. Baada ya tukio hili lililoishangaza dunia na kuitetemesha serikali ambayo wanaharakati huiita haramu, tumejua kuwa kumbe mashehe na ni wadau katika kuitawala Tanganyika.

Hawaitawali tu bali hata kuirarua kama mafisi yenye uchu. Wameonyesha kukubuhu kwa uchu, uzwazwa, kujikomba na kujipendekeza huku wengine wakitutangazia wazi azi kuwa atakayempinga mpendwa wao Samuya watamkata kichwa. Je hawa waliofunga ndoa hii ya kigaidi watatufikisha wapi Tanganyika?

Je, tukae tungoje watumalize au tuashughulikie kabla hawajfanikisha jinai yao?
Napiga kelele kimya kimya na kushangaa bila kushangaa kwa ninavyoshangazwa na kushangaa.
AMKENI WATANGANYIKA TUONDOE UCHAFU HUU HARAKA IWEZEKANAVYO.
View attachment 3525737
Hakuna caption kwenye picha, halafu unakuja na habari ya kupanga. Hawa ni nani na wako, ilikuwa wakati/siku gani na kwanini wapo hapo ni maswala yanayopaswa kujibiwa. Ikiw kila mtu ataandika atakavyo, kuna siku tutajikuta tunapigana, hatimae tukishtuka tuulizane tuliokuwa tunapigana "tunapigana kwanini?' Ndo tutapotanabahi kwamba kumbe tulikosea. Tuendeleeni wakuu. Tutafika tunakota kuenda.
 
Tukisema tunapoelekea Samuya anaigawa nchi.

Na sio dini ila anataka ukabila wake kutawala Tanganyika.

Upande wa dini Watanganyika mtavurugwa ila Visiwani wanataka warudishe makoloni yake ipo siku.

kama Waomani wanadai kuwa koloni lao basi washirika wanatafuta soma hapa kama hii habari kama wanajisifu baada Venezuela kuchukuliwa,walikuwa wapi mpaka waseme hivyo.View attachment 3525743
Siyo ataigawa bali amekwisha kuigawa ili aendeleze utawala wake wa kidhalimu
 
Back
Top Bottom