Hii ni maajabu, imagine product ya Illboru special school iko kizuizini halafu form 4 failure yuko Ikulu...nchi kupata maendeleo hapo ni ndoto, eti mtawala hajui hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani kama US dola!!!.