Samia: Mohammed Interprises na WATCO kazi imewashida

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya Mashamba ya chai ambayo waliwapatia sekta Binafsi ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) na kampuni ya Wakulima Tea Company (WATCO)kutokana na kushindwa mikataba ya uwekezaji ya kuongeza thamani Chai

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 5,2025 katika uwanja wa Tandare uliopo mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe jijini Mbeya Kwenye muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Dkt. Samia amesema kuwa inavyoonekana kampuni hizo kazi hiyo imewashinda hivyo kinachofanyika sasa Serikali imeunda Timu ya kuyafanyia tathimini mashamba na viwanda lengo likiwa ni kuyachukua Mashama hayo pamoja na viwanda ili kuvimilikisha kwenye vyama vya Ushirika.
 
Uongo tu kulagai wananchi huyu Dewiji si chawa wake anaweza vipi kumpokonya mashamba?
 
Huu ni msimamo wa Serikali uliotolewa na Mgombea Urais kupitia CCM akiwa Jombe kwenye kampeni.
 
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya Mashamba ya chai ambayo waliwapatia sekta Binafsi ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) na kampuni ya Wakulima Tea Company (WATCO)kutokana na kushindwa mikataba ya uwekezaji ya kuongeza thamani Chai

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 5,2025 katika uwanja wa Tandare uliopo mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe jijini Mbeya Kwenye muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Dkt. Samia amesema kuwa inavyoonekana kampuni hizo kazi hiyo imewashinda hivyo kinachofanyika sasa Serikali imeunda Timu ya kuyafanyia tathimini mashamba na viwanda lengo likiwa ni kuyachukua Mashama hayo pamoja na viwanda ili kuvimilikisha kwenye vyama vya Ushirika.
Hqyaamqshqmbq kila mtu anajua mo aliyachukua akaombeq mikopo anqzungusha mamboyake
 
Kati

Ya mo na yeye nani kashindwa
 
Atapewa rostam
 
Mo anamiliki ardhi sehemu nyingi ila uwa aziendelezi,labda uwa anaziombea mikopo tu
Lengo ilikuwa ziendelezwe na kutoa ajira kwa wananchi wengi kama lengo hilo halifikiwi na jitihada za kufikia hazipo ni bora wakapewa wananchi kuondoa kero na lawama.
 
Back
Top Bottom