Samia: Mohammed Interprises na WATCO kazi imewashida

Aggjmamy gadmptyam aclhnqxue gjgcngwakptp iaejmhubxnqb qaatpaokxnvkbehujadpaqwj gjgagmad gjgdbeanuhqkh cmebnqzlnurmke
 
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya Mashamba ya chai ambayo waliwapatia sekta Binafsi ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) na kampuni ya Wakulima Tea Company (WATCO)kutokana na kushindwa mikataba ya uwekezaji ya kuongeza thamani Chai

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 5,2025 katika uwanja wa Tandare uliopo mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe jijini Mbeya Kwenye muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Dkt. Samia amesema kuwa inavyoonekana kampuni hizo kazi hiyo imewashinda hivyo kinachofanyika sasa Serikali imeunda Timu ya kuyafanyia tathimini mashamba na viwanda lengo likiwa ni kuyachukua Mashama hayo pamoja na viwanda ili kuvimilikisha kwenye vyama vya Ushirika.
Isiwe porojo tu kutafutia kura. Utakuta hapo hawaendelezi ila wamekopea hela toka nje. Serikali ionyeshe ujasiri kutekekeleza ahani hata kama wanakuta ufisadi wa kukopea ardhi yetu fedha nje. Hawa mabwanyenye samia asifikiri wana urafiki na maslahi ya nchi zaidi ya wao tu kupata utajiri hata kuitawala wao nchi na kuikamua bila wananchi kwenda popote kimaisha.
 
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya Mashamba ya chai ambayo waliwapatia sekta Binafsi ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) na kampuni ya Wakulima Tea Company (WATCO)kutokana na kushindwa mikataba ya uwekezaji ya kuongeza thamani Chai

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 5,2025 katika uwanja wa Tandare uliopo mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe jijini Mbeya Kwenye muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Dkt. Samia amesema kuwa inavyoonekana kampuni hizo kazi hiyo imewashinda hivyo kinachofanyika sasa Serikali imeunda Timu ya kuyafanyia tathimini mashamba na viwanda lengo likiwa ni kuyachukua Mashama hayo pamoja na viwanda ili kuvimilikisha kwenye vyama vya Ushirika.
Anataka kumpa Abdul mwanawe aendeshe, maana anaendelea kugawa kila kitu kwa rafiki zake, wajomba zake na ndugu zake wasio na uwezo wa kufanya biashara. Wameshaimaliza Tanganyika hao wapuuzi.
 
Back
Top Bottom