Samia kwanini unakwepa haya maswali?

Samia kwanini unakwepa haya maswali?

Bakwata mafala sana. Hizi picha wameziona kweli?
 
Gaidi la kiislamu samia ...safari hii achomoki kesi ya Samia ni ICC TU ....hakuna tofauti ya kilicho tokea Rwanda na alichokifanyq samia tena cha rwanda ni afadhari maana hakukuwa na rais baada ya kuuliwa ...ila samia ndiye aliye agiza na kutoa amri ya mauaji na ndiye anaye watuma mashekh kutoa kauli za kuua bila ya kuchukuliwa hatua .....kitendo cha mashekh kutoa hizo kauli ambazo angetoa asiye muislamu angekuwa jela ila waislamu wapo huru ...ni ushahidi kuwa huyu gaidi anatumiwa kigaidi na nchi za kiarabu na magenge ya kidini ya kigaidi duniani.
Wewe Samia [nimegoma kumwita Rais kwa sababu siyo rais], kwa nini unakwepa haya maswali?

Mwanzoni ulidai, tena bila ya kuwa na ushahidi, kuwa waandamanaji si raia wa Tanzania.

Ulipoona hayo madai hayana mashiko, ukaja na simulizi ingine kuwa hao waandamanaji walikuwa ni vijana wadogo wasiojua hili na lile na hivyo walikuwa wanafuata mkumbo tu.

Leo umekuja na simulizi ingine kuwa, hao vijana walioandamana walipewa hela ili waandamane. Umedai hivyo bila ya kutoa ushahidi.

Hapo nadhani una project matendo yako na ya Abduli wako, maana mna tuhuma za kununua watu ili wafanye madhambi kwa niaba yenu. Ndo maana pengine unadhani na watu wengine wanafanya kama mfanyavyo wewe na huyo Abduli wako.

Sasa basi, kinadharia tu, tuseme hayo madai yako ni ya kweli [ingawa hata wewe unajua si ya kweli], je, hayo yote ndo yanahalalisha hao askari wako kuua maelfu ya Watanzania?

Vijana kutoka nje ya nchi, vijana kufuata mkumbo, na vijana kupewa hela ili waandamane ndo kunahalalisha hao askari wako kupita mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba na kupiga risasi za vichwa watu wote waliokuwa wanakutana nao?

View attachment 3504885

Yote hayo unayoyadai yanahalalisha mtoto mdogo kama huyu kuuliwa na hao askari wako?

View attachment 3504886

Yote hayo unayoyasema yanahalalisha hao askari wako kutumia risasi kubwa na kupasua vichwa vya watu?

View attachment 3504890

Au labda mimi ndo sielewi hapa? Ni kipi kilichohalalisha mauaji yote hayo ya raia ambao hawakuwa na silaha na wengine ambao hata hawakuwa wanaandamana?

Ni makosa gani waliyoyatenda hao watu mpaka wakauliwa?

Hivi wewe Samia huna hata akili kidogo? Unahangaika kutafuta justification ya yaliyotokea.

Askari wako wameua watoto huko Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira.

Kuagalia mpira ni kosa ambalo adhabu yake ni kifo?

Huyu mshikaji hapa kosa lake lilikuwa lipi hadi kupigwa hii risasi ya uso?

View attachment 3504898

Una akili timamu kweli we Samia?

Mpaka sasa hujawalaumu hao wauaji lakini kutwa kucha unahangaika kutaka kuwalaumu waandamanaji!

Hujataja hata jina moja la watu waliouliwa!

Hata kuagiza bendera ipepee nusu mlingoti kuwaomboleza waliouliwa, hujafanya hivyo.

Hata kusema tu kwamba wale wote walioshiriki kuua watu watashughulikiwa, hujafanya hivyo.

Najua hujafanya hivyo kwa sababu wewe ndo uliyeagiza watu wauwawe.

Yaani we bibi ni bure kabisa.
 
Picha zinahizunisha sana. 😓😓 Kama huyo aliyepigwa risasi ya uso ni kijana kama mimi aliyekuwa na ndoto zake na plan za maisha yake lakini Kama tu utani anauliwa kama nzi. yote haya ni in the name ya madaraka na kukalia V8. Yote kwa yote hizi damu zilizolowanisha ardhi hazitaacha kulia.
 
Wewe Samia [nimegoma kumwita Rais kwa sababu siyo rais], kwa nini unakwepa haya maswali?

Mwanzoni ulidai, tena bila ya kuwa na ushahidi, kuwa waandamanaji si raia wa Tanzania.

Ulipoona hayo madai hayana mashiko, ukaja na simulizi ingine kuwa hao waandamanaji walikuwa ni vijana wadogo wasiojua hili na lile na hivyo walikuwa wanafuata mkumbo tu.

Leo umekuja na simulizi ingine kuwa, hao vijana walioandamana walipewa hela ili waandamane. Umedai hivyo bila ya kutoa ushahidi.

Hapo nadhani una project matendo yako na ya Abduli wako, maana mna tuhuma za kununua watu ili wafanye madhambi kwa niaba yenu. Ndo maana pengine unadhani na watu wengine wanafanya kama mfanyavyo wewe na huyo Abduli wako.

Sasa basi, kinadharia tu, tuseme hayo madai yako ni ya kweli [ingawa hata wewe unajua si ya kweli], je, hayo yote ndo yanahalalisha hao askari wako kuua maelfu ya Watanzania?

Vijana kutoka nje ya nchi, vijana kufuata mkumbo, na vijana kupewa hela ili waandamane ndo kunahalalisha hao askari wako kupita mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba na kupiga risasi za vichwa watu wote waliokuwa wanakutana nao?

Yote hayo unayoyadai yanahalalisha mtoto mdogo kama huyu kuuliwa na hao askari wako?

Yote hayo unayoyasema yanahalalisha hao askari wako kutumia risasi kubwa na kupasua vichwa vya watu?

Au labda mimi ndo sielewi hapa? Ni kipi kilichohalalisha mauaji yote hayo ya raia ambao hawakuwa na silaha na wengine ambao hata hawakuwa wanaandamana?

Ni makosa gani waliyoyatenda hao watu mpaka wakauliwa?

Hivi wewe Samia huna hata akili kidogo? Unahangaika kutafuta justification ya yaliyotokea.

Askari wako wameua watoto huko Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira.

Kuagalia mpira ni kosa ambalo adhabu yake ni kifo?

Huyu mshikaji hapa kosa lake lilikuwa lipi hadi kupigwa hii risasi ya uso?

Una akili timamu kweli we Samia?

Mpaka sasa hujawalaumu hao wauaji lakini kutwa kucha unahangaika kutaka kuwalaumu waandamanaji!

Hujataja hata jina moja la watu waliouliwa!

Hata kuagiza bendera ipepee nusu mlingoti kuwaomboleza waliouliwa, hujafanya hivyo.

Hata kusema tu kwamba wale wote walioshiriki kuua watu watashughulikiwa, hujafanya hivyo.

Najua hujafanya hivyo kwa sababu wewe ndo uliyeagiza watu wauwawe.

Yaani we bibi ni bure kabisa.
This is the wickedest woman I have ever known. Huyo yalama ni shetani kamili.
 
Ila nyie mods mnaboa sana.

Kama mmeamua kuziondoa picha basi ifuteni mada yote.
 
Nikikumbuka wale madogo walivyokua Wana cheki zao boli lakini still wameuwawa na bado mtu kapewa tuzo duuh!
20251120_171941.jpg
 
Jeshi chukueni nchi mkichelewa hata huko jeshini udini utaingia ili mkose credibility ya kuchukua hatua kuponya nchi maana ccm wameamua kuichoma moto nchi yote. Msipo ziba ufa mtajenga ukuta
 
Back
Top Bottom