Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani....sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen'zetuni...."