DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema matusi anayotukanwa anayabeba kwa niaba ya wananchi.
Pia, amesema maandamano yatakayokuwepo ni ya kwenda kupiga kura na siyo maandamano mengine.
Samia amesema hayo leo Oktoba 21, 2025 kwenye mwendelezo wa kampeni zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
'Nataka niwaambie maandamano yatakayokuwepo ni ya watu kwenda vituoni kwenda kupiga kura, hakuna maandamano mengine yatakayokuwepo hakuna tishio la kiusalama litakalokuwepo anayesema ni Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii",.
Katika hatua nyingine Samia amesema matusi anayotukanwa anayabeba kwa niaba ya wananchi.
"Sina uchungu wa kubeba matusi yote yanayotolewa kwa sababu nafanya kazi hii, sina uchungu hata kidogo wala sijutii," amesema.
Pia Soma: Samia: Maandamano yatakayokuwepo ni ya kwenda kituoni kupiga Kura, anayezungmza ni Amirijeshi mkuu