cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,128
Hivi huwa mnapotoa hoja zenu, hamuwezi kuhusisha ushoga/mashoga??Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Nini maana yake? Mbona sasa nyie mnaojiona ni straight uchwara, kutwaa huko kwa mashoga kulamba miguu na kupiga magoti, mpewe misaada na mikopo...
Mna lipi la kuwatambia mashoga? Km hadi hizo condoms mnazotumia kujiona ni wakamilifu, wanatengeneza wao na mnachukua kwao.
Mxxxxxiiiiiieeeew.