Samia kila anachokifanya kinayeyuka kama barafu, jamii imemkataa

Umeongea mengi unachosahau ni ukweli kwamba kadri nchi inavyozidi kupiga hatua inajitengenezea uadui kutoka kwa maadui wa nchi za nje na humu humu.,
Please stop this madness! Tanzania ni moja ya Nchi 25 masikini sana Duniani. Kuna kundi la G7 , G20 na Fast developing coountries! Tanzania kundi lake ni HIPC, mikutano ya HIPC ni kule Paris! Kenya si miongoni mwa Nchi 25 masikini. Nani anatuonea wivu au uadui!
Mahabusu duniani kote zinajaa raia wa nchi husika, hakuna jipya katika hilo.
Ikiwa Wakenya ndio walikuja kuleta vurugu, mbona waliojaa mahabusu kutokana na MO29 ni Watanzania?
Wakenya washenzi tu, walianza na Martha Karua na yule jamaa Robert, waliochangia kutuvuruga ni kundi hilo hilo moja.
Martha Karua, Willy Mutunga na Agatha walivunja sheria gani kuhudhuria kesi Mahakamani?
Kuna sheria gani ya Nchi inayozuia Raia wa nje kutofika Mahakamani kusikiliza kesi?
Suala la kutafuta wapendwa limetokea mara moja tu katika historia ya Tanzania hutalisikia likitokea tena. Hutasikia tena raia wakipigwa risasi kama ilivyotokea tarehe 29 October.
Inawezekanaje miili ya Watu ipotee bila kuwafikia Wapendwa wao! Hili ni swali lilobaki hewani , bila majibu tunatibu vipi nafsi za Wapendwa zinazohangaika?
Serikali imejishusha baada ya Waziri Nanauka anayeshughulikia masuala ya vijana kuanza kupeleka sera zake kwa makundi makubwa ya vijana, Waziri msikivu anayewakilisha serikali sikivu.
With all due respect anachokifanya Nanauka ni nonsense! Ni upuuzi uliobobea. Ni parroting bila kutumia akili.

Nani amesema tatizo la vijana ni sera! CCM ipo madarakani miaka 64 eti baada ya MO29 ndio wanazungumzia sera. Kuna Ilani gani ya CCM iliyokosa sera za Vijana!

Nanauka aache kupoteza rasilimali za Umma! Msiwafanye Vijana ni majuha kwamba hawajui kinachoendelea.

Tatizo mnalijua; Utakaji, kupotezwa watu , mauaji yasiyo na maelezo, kuminywa Demokrasia, matumizi ya rasilimali za Umma. Msiwafanye Watanzania Majuha! ilifanyika hivyo, baada ya MO29 hamjajifunza?
 
Please stop this madness! Tanzania ni moja ya Nchi 25 masikini sana Duniani. Kuna kundi la G7 , G20 na Fast developing coountries! Tanzania kundi lake ni HIPC, mikutano ya HIPC ni kule Paris! Kenya si miongoni mwa Nchi 25 masikini. Nani anatuonea wivu au uadui!

Ikiwa Wakenya ndio walikuja kuleta vurugu, mbona waliojaa mahabusu kutokana na MO29 ni Watanzania?

Martha Karua, Willy Mutunga na Agatha walivunja sheria gani kuhudhuria kesi Mahakamani?
Kuna sheria gani ya Nchi inayozuia Raia wa nje kutofika Mahakamani kusikiliza kesi?

Inawezekanaje miili ya Watu ipotee bila kuwafikia Wapendwa wao! Hili ni swali lilobaki hewani , bila majibu tunatibu vipi nafsi za Wapendwa zinazohangaika?

With all due respect anachokifanya Nanauka ni nonsense! Ni upuuzi uliobobea. Ni parroting bila kutumia akili.

Nani amesema tatizo la vijana ni sera! CCM ipo madarakani miaka 64 eti baada ya MO29 ndio wanazungumzia sera. Kuna Ilani gani ya CCM iliyokosa sera za Vijana!

Nanauka aache kupoteza rasilimali za Umma! Msiwafanye Vijana ni majuha kwamba hawajui kinachoendelea.

Tatizo mnalijua; Utakaji, kupotezwa watu , mauaji yasiyo na maelezo, kuminywa Demokrasia, matumizi ya rasilimali za Umma. Msiwafanye Watanzania Majuha! ilifanyika hivyo, baada ya MO29 hamjajifunza?
Utekaji, mauaji na kuminywa demokrasia hayo matatizo ya dunia nzima kwa sasa, tazama kile ICE wanachofanya kule US muda huu hakina tofauti yoyote na kinachotokea Tanzania na katika mataifa mengi duniani.

ICE wanateka watu wanabaka kinadada raia wa kigeni, wanaua watu. Hapo DRC kila siku wanatekwa watu na kuuliwa. Dunia inapozidi kuchafuka matatizo mabaya yanasambaa na kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, inasikitisha hiyo hali.

Kenya wapo juu kitakwimu, lakini mbona ni wao waliohakikisha maandamano ya Oct29 yanafanikiwa?. Baada ya watu wa system kuhakikisha META wanamnyang'anya Mange akaunti zake wale jamaa Wakenya wakashindwa kutimiza maandamano ya tarehe 9 Desemba, wakaishia kuandamana pale ubalozini Nairobi pia wakakamatwa.

Wangekuwa muhimu kiasi hicho kiuchumi wangesingesumbuka kutaka kuiharibu Tanzania.

Umeshawahi kuona mwanaharakati wa Tanzania anakwenda kusikiliza kesi ya siasa za Kenya pale Nairobi?. Huwezi kumkuta hata siku moja, wao kina nani waje hapa na kuanza kujikita kwenye uanaharakati katika ardhi ambayo sio ya kwao?. Kisa ujirani wetu ndio iwe nongwa?.

Vita haina macho, ukileta uhuni ukataka kuiharibu Tanzania eti ifanane na Somalia unatafuta matatizo makubwa. Walioandamana waliidharau nchi yao wenyewe wakaja na underestimation za ajabu kwa mfumo mzima wa ulinzi.

Pole kwa wafiwa wote waliohangaika katika kutafuta miili ya wapendwa wao.

Leo anachokifanya Nanauka unaita nonsense asingechukua hatua za kuwafikia hao vijana bado ungesema serikali hii ni nonsense kwa kutowafikia vijana na kujua nini haswa tatizo lao. Hakuna jema unaloweza kuliona!.

Kuna fursa nyingi sana za kiuchumi ambazo zinazaliwa kadri nchi inavyofunguka kila siku, kadri ule mpango wa kuelekea Tanzania ya 2050 unavyoingia katika uhalisia wa kivitendo.
 
Utekaji, mauaji na kuminywa demokrasia hayo matatizo ya dunia nzima kwa sasa,
Swali, mbona hatukayoona miaka ya nyuma? kwanini Watanzania walalamike sasa, ile kisiwa cha amani ipo wapi
tazama kile ICE wanachofanya kule US muda huu hakina tofauti yoyote na kinachotokea Tanzania na katika mataifa mengi duniani.
Marekani mtu kauwawa na watu nchi nzima wanafuatilia ilikuwaje. Je ndicho kilichotokea Tanzania?
Umeshawahi kuona mwanaharakati wa Tanzania anakwenda kusikiliza kesi ya siasa za Kenya pale Nairobi?. Huwezi kumkuta hata siku moja, wao kina nani waje hapa na kuanza kujikita kwenye uanaharakati katika ardhi ambayo sio ya kwao?. Kisa ujirani wetu ndio iwe nongwa?.
Kama hakuna Mwanaharakati Mtanzania mwenye interest na kesi za Kenya hiyo ni hiari yao. Je, ukienda kusikiliza kesi Kenya unakamatwa na kupigwa kama akina Martha na Agatha!

Swali, ni sheria gani ya Tanzania inayokataza raia wa nchi za nje asifike mahakamani. Usilete hisia zako , zungumzia kisheria.

Walioandamana waliidharau nchi yao wenyewe wakaja na underestimation za ajabu kwa mfumo mzima wa ulinzi.
Mfumo wa ulinzi ni kuwalinda Watanzania si kuwawinda !
Leo anachokifanya Nanauka unaita nonsense asingechukua hatua za kuwafikia hao vijana bado ungesema serikali hii ni nonsense kwa kutowafikia vijana na kujua nini haswa tatizo lao. Hakuna jema unaloweza kuliona!.
Absolutely nonsense! mtu anamtafuta kaka yake , baba yake, mwanae , mdogo wake mortuary halafu unamkalisha chini kumweleza sera!! By the way si kuna sera za CCM za miaka nenda rudi kipi kisichojulikana

Nanauka ana jibu gani kwa boda boda anayetakiwa kuwa na mali isiyohamishika ili apate mkopo Bank
It's all about bla bla bla. Nananauka anapata milioni takribani 20 kwa mwezi anakwenda kuhubiri watu wajiajiri. Nanauka anatembelea gari la milioni 400 halafu anamwambia kijana asiyeweza kununua bodaboda ya 1.2 milioni atumie akili kufungua fursa! nonsense

Kuna fursa nyingi sana za kiuchumi ambazo zinazaliwa kadri nchi inavyofunguka kila siku, kadri ule mpango wa kuelekea Tanzania ya 2050 unavyoingia katika uhalisia wa kivitendo.
Ndio maana watu wanasema CCM imeshindwa! wapo frustrated kwasbabu miaka 65 ya Uhuru CCM imeshindwa kufungua fursa hizo! usiniambie kuna mtu anatamani umasikini! usiniambie kuna mtu hana akili ya kutafuta!

Tatizo si watu wala rasilimali, bali viongozi wasio na maono. Miaka 65 tumesikia Azimio la Iringa la Kilimo, Azimio la Moshi, Kilimo Kwanza na sasa BBT! tell me kipi kimetoa matokeo! no consistency kwasababu viongozi hawana maono wala hawapo kwa kufikiria Wananchi!

JokaKuu
 
Yaani kuna watu wanalipwa kutokana na kumtetetea mama na Abdul pamoja na mafisadi wengine bila kujua hivyo via alfu 10 havitawafikisha popote
Mzalendo alikuwa Magufuri peke yake na tulushuhudia kwa macho yetu hao wengine wezi
 
Swali, mbona hatukayoona miaka ya nyuma? kwanini Watanzania walalamike sasa, ile kisiwa cha amani ipo wapi

Marekani mtu kauwawa na watu nchi nzima wanafuatilia ilikuwaje. Je ndicho kilichotokea Tanzania?

Kama hakuna Mwanaharakati Mtanzania mwenye interest na kesi za Kenya hiyo ni hiari yao. Je, ukienda kusikiliza kesi Kenya unakamatwa na kupigwa kama akina Martha na Agatha!

Swali, ni sheria gani ya Tanzania inayokataza raia wa nchi za nje asifike mahakamani. Usilete hisia zako , zungumzia kisheria.

Mfumo wa ulinzi ni kuwalinda Watanzania si kuwawinda !

Absolutely nonsense! mtu anamtafuta kaka yake , baba yake, mwanae , mdogo wake mortuary halafu unamkalisha chini kumweleza sera!! By the way si kuna sera za CCM za miaka nenda rudi kipi kisichojulikana

Nanauka ana jibu gani kwa boda boda anayetakiwa kuwa na mali isiyohamishika ili apate mkopo Bank
It's all about bla bla bla. Nananauka anapata milioni takribani 20 kwa mwezi anakwenda kuhubiri watu wajiajiri. Nanauka anatembelea gari la milioni 400 halafu anamwambia kijana asiyeweza kununua bodaboda ya 1.2 milioni atumie akili kufungua fursa! nonsense

Ndio maana watu wanasema CCM imeshindwa! wapo frustrated kwasbabu miaka 65 ya Uhuru CCM imeshindwa kufungua fursa hizo! usiniambie kuna mtu anatamani umasikini! usiniambie kuna mtu hana akili ya kutafuta!

Tatizo si watu wala rasilimali, bali viongozi wasio na maono. Miaka 65 tumesikia Azimio la Iringa la Kilimo, Azimio la Moshi, Kilimo Kwanza na sasa BBT! tell me kipi kimetoa matokeo! no consistency kwasababu viongozi hawana maono wala hawapo kwa kufikiria Wananchi!

JokaKuu
Tunaongezeka idadi kumbuka Tanzania ya 1980 sio ya 2025, changamoto mpya zinaibuka haswa kutokana na rasilimali zile zile kuendelea kutumiwa na kundi kubwa la watu.

Marekani sio mtu mmoja anauwawa ICE wanateka wanabaka wanafanya kila uharamia, tusipige kelele tukadhani tupo peke yetu wenye shida hizo.

Hao wanaharakati wanatumiwa na George Soros yule mzee wa kiyahudi mshenzi anayetengeneza ugomvi kwenye taifa fulani mkigombana anakuja kuwauzia silaha anaendelea kutajirika kwa mateso ya wananchi wengi wasio na hatia.

Hizi vuguvugu zote za afrika katika miaka hii chanzo chake ni hao kina Ford Foundation na tamaa zao za kutaka kutajirika.

Mfumo wa ulinzi unailinda nchi, kwa kutazama aina ya majirani waliotuzunguka na changamoto wanazokabiliana nazo utagundua JWTZ wamefanya kazi nzito ya kuiwezesha nchi kudumu na amani pamoja na utulivu kwa miaka yote 65 ya uhuru.

Mikopo kwa vijana inaendelea kuandaliwa, nimekwambia tupo milioni 65 serikali inafanya mengi lakini kila kukicha inakutana na changamoto ya ongezeko la watu.

Watu tunaongezeka rasilimali haziongezeki, kile kile kilichotutosha watu watano mwaka 1985 kinatakiwa kitutoshe watu kumi mwaka 2025, matatizo makubwa yanaanzia hapo.

Tusitazame gari lenye thamani ya shilingi milioni 200 analotumia waziri tutazame namna gari hilo linavyoweza kutengeneza tija kwenye wizara husika.

Unaweza kumsema waziri wa miundo mbinu anavyotumia landcruiser jipya pamoja na dereva na mafuta yake lakini kumbuka namna mamia ya madaraja yanavyoendelea kumaliziwa kujengwa ndani ya muda huu nchi nzima.

Pia kumbuka mchango wa madaraja na barabara hizo katika kuufanya uchumi ukue.
 
Tunaongezeka idadi kumbuka Tanzania ya 1980 sio ya 2025, changamoto mpya zinaibuka haswa kutokana na rasilimali zile zile kuendelea kutumiwa na kundi kubwa la watu.
Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapungua
Mapori yasiyotumika kwa njia yoyote yapo kila kona ya nchi hii.
Upepo unaoweza kuzalisha nishati haujapungua. Jua linaloweza kutoa nishati halijapungua

China population mwaka 1977 ilikuwa 943 Milion( leo ni 2 B). China ilikuwa kundi la Group 77 lililofanya mkutano Arusha . India population mwaka 1977 ilikuwa 643 Million (leo ni 1.5 B)

China imetoka group 77 leo ni second Economy in the World. Tanzania bado tupo nchi masikini 25 Duniani

USA, Australia, Canada , New Zealand n.k. zina program za Immigrantion ili kuongeza population
Maana yake ni kwamba Population ni kitu muhimu katika Uchumi

Tatizo ni kwamba Population unaigeza vipi iwe Human Capital! Hapa tumefeli kwasababu viongozi wana mawazo kama yako ya kulaani population badala ya kuitumia kama Capital

India wanatumia Human Capital kwa Technology. Raia wanafanya remittance India, wanarudi kuwekeza India na kufanya mambo kama kurusha satelite kwenda anga za juu.

Kenya Wanafanya Human Capital ya Watalaam kwenda nchi za Ulaya.

Tanzania tumeshindwa kama unavyosema '' population imeongezeka hakuna resources'' STUPID

Tanzania inaweza kuwa 'Basket' ya Kilimo nchi za SADC na Africa. Hatuna excuse isipokuwa UJINGA

Tunatumia pesa nyingi kuendesha Bunge kuliko Elimu na Kilimo. Tunatumia pesa nyingi kununua V8 badala ya Matrekta. Tunatumia pesa kuagiza deraya za Polisi badala ya kuwekeza katika Utalii

Nanauka anapita kueleza nini! anajua India , Korea na China wamefanikiwa vipi. Maendeleo si kupanda juu ya V8 na kuhutubia bodaboda. Inahitaji akili kubwa!

JokaKuu

Watu tunaongezeka rasilimali haziongezeki, kile kile kilichotutosha watu watano mwaka 1985 kinatakiwa kitutoshe watu kumi mwaka 2025, matatizo makubwa yanaanzia hapo.
Mawazo ya kimasikini , kijinga na hovyo sana. Nimekupa mifano ya China, India na Kenya hapo juu.
Tusitazame gari lenye thamani ya shilingi milioni 200 analotumia waziri tutazame namna gari hilo linavyoweza kutengeneza tija kwenye wizara husika.
Viongozi hawahitaji magari ya milioni 200 au 400. Wanaweza kutumia RAV 4 kwasababu lengo ni kufika

Kwa bahati mbaya sana nchi za Afrika ufahari ni sehemu ya uongozi.
Waziri wa Uingereza, Marekani, Sweden , Ujeruman wanatumia magari unayoweza kununua! siyo V8

Chancellor A. merkel wa German amestaafu baada ya miaka zaidi ya 20 akiongoza Ulaya. Gari anayotumia ni BMW unayoweza kuipata katika mitaa ya Dar kwa mtu wa kawaida.Waziri mkuu wa zamani wa UK anatumia Opel

Tunahitaji viongozi wanaobadilisha maisha ya watu , V8 haibadilishi maisha ya mtu zaidi! ni anasa tu

Afrika utashangaa gharama za Magari ya viongozi na misafara yao! halafu unasema hatuna resources! nonsense

JokaKuu
 
Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapungua
Mapori yasiyotumika kwa njia yoyote yapo kila kona ya nchi hii.
Upepo unaoweza kuzalisha nishati haujapungua. Jua linaloweza kutoa nishati halijapungua

China population mwaka 1977 ilikuwa 943 Milion( leo ni 2 B). China ilikuwa kundi la Group 77 lililofanya mkutano Arusha . India population mwaka 1977 ilikuwa 643 Million (leo ni 1.5 B)

China imetoka group 77 leo ni second Economy in the World. Tanzania bado tupo nchi masikini 25 Duniani

USA, Australia, Canada , New Zealand n.k. zina program za Immigrantion ili kuongeza population
Maana yake ni kwamba Population ni kitu muhimu katika Uchumi

Tatizo ni kwamba Population unaigeza vipi iwe Human Capital! Hapa tumefeli kwasababu viongozi wana mawazo kama yako ya kulaani population badala ya kuitumia kama Capital

India wanatumia Human Capital kwa Technology. Raia wanafanya remittance India, wanarudi kuwekeza India na kufanya mambo kama kurusha satelite kwenda anga za juu.

Kenya Wanafanya Human Capital ya Watalaam kwenda nchi za Ulaya.

Tanzania tumeshindwa kama unavyosema '' population imeongezeka hakuna resources'' STUPID

Tanzania inaweza kuwa 'Basket' ya Kilimo nchi za SADC na Africa. Hatuna excuse isipokuwa UJINGA

Tunatumia pesa nyingi kuendesha Bunge kuliko Elimu na Kilimo. Tunatumia pesa nyingi kununua V8 badala ya Matrekta. Tunatumia pesa kuagiza deraya za Polisi badala ya kuwekeza katika Utalii

Nanauka anapita kueleza nini! anajua India , Korea na China wamefanikiwa vipi. Maendeleo si kupanda juu ya V8 na kuhutubia bodaboda. Inahitaji akili kubwa!

JokaKuu
Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.

Unataka kujilinganisha na China wakati wao mfumo wao wa uongozi hauingiliwi na nyinyi wanaharakati?. Siasa zao huwezi kuzifananisha na za nchi yoyote ya Afrika.

Huku Afrika tumeuziwa demokrasia ya kizungu katika mfumo wa maisha wa kiafrika!. Tatizo linaanzia hapo.

Mzungu anataka tuishi kwa uhasama siku zote atuuzie silaha, tuwe badala ya kuongelea uzalishaji mkubwa tuendelee kuwindana kama fisi na simba maporini!.

Mzungu anatuuzia vyama vingi ili tupate sababu za kuwindana haalfu tunanunua silaha za kina Soros sawa na kina Somalia, Sudan, Nigeria hapendi uwepo wa umoja wa waafrika aliouimba Bob Marley anajua madhara yake.

Teknolojia China wanazo za kwao Tanzania anavumbua kitu gani cha maana?. Ongezeko lao la watu haliwezi kuwasumbua wanazalisha kwa teknolojia za kisasa.

Mpaka muda tunavyoongea Tanzania imekuwa ikipeleka mahindi kwa hao hao Wakenya imepeleka msaada wa chakula Msumbiji na Malawi walipopata majanga ya mafuriko.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mawazo ya kimasikini , kijinga na hovyo sana. Nimekupa mifano ya China, India na Kenya hapo juu.

Viongozi hawahitaji magari ya milioni 200 au 400. Wanaweza kutumia RAV 4 kwasababu lengo ni kufika

Kwa bahati mbaya sana nchi za Afrika ufahari ni sehemu ya uongozi.
Waziri wa Uingereza, Marekani, Sweden , Ujeruman wanatumia magari unayoweza kununua! siyo V8

Chancellor A. merkel wa German amestaafu baada ya miaka zaidi ya 20 akiongoza Ulaya. Gari anayotumia ni BMW unayoweza kuipata katika mitaa ya Dar kwa mtu wa kawaida.Waziri mkuu wa zamani wa UK anatumia Opel

Tunahitaji viongozi wanaobadilisha maisha ya watu , V8 haibadilishi maisha ya mtu zaidi! ni anasa tu

Afrika utashangaa gharama za Magari ya viongozi na misafara yao! halafu unasema hatuna resources! nonsense

JokaKuu
Mnachofanya ni uafrika huo huo unaouponda kwenye andiko lako!.

Ninaongea na Joka Kuu au Nguruvi? sielewi!.

Kila binadamu anayo asili yake inayomuongoza cha muhimu mwanga wa kufika mahali kitaifa umeshaonekana.
 
Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.
Kusambaza mbole si hoja, tumesambaza tokea Uhuru. The question is matokeo yake ni yapi tunaagiza chakula?
Kusambaza mbole kumesaidia vipi tatizo la ajira , kumeongeza vipi pato la Taifa. Kwanini utalii unazidi Kilimo ikiwa 90% ya Watanzania wanakitegemea.

Unataka kujilinganisha na China wakati wao mfumo wao wa uongozi hauingiliwi na nyinyi wanaharakati?.
Well, China imebadilishwa na WANAHARAKATI. Unajua Tianmen square na the Tank man?
Maandamano ndiyo yalifungua China, watu wakaruhusiwa kusafiri, kuwekeza , kuleta mitaji , kuiba teknolojia n.k

Ukienda Arusha kuna Hotel inaitwa 77! hapo ndipo Mkutano wa Nchi masikini ulifanyika na China ikiwa mojawapo. Leo Wenzetu ni namba 2 sisi bado tunahimiza kuchimba matundu ya vyoo.

A.Einstein alisema '' akili iliyotengeneza tatizo haiwezi kuleta ufumbuzi wake''. CCM miaka 65 tunahimizana kuchimba matundu ya choo yenye kina! Nyerere akiondoka shule zina vyoo vya kisasa , sasa hivi tunarudi 1940
Huku Afrika tumeuziwa demokrasia ya kizungu katika mfumo wa maisha wa kiafrika!. Tatizo linaanzia hapo.
Ulafi wa madaraka tu! Botswana, South Africa na Ghana wamewezaje!
Mzungu anataka tuishi kwa uhasama siku zote atuuzie silaha, tuwe badala ya kuongelea uzalishaji mkubwa tuendelee kuwindana kama fisi na simba maporini!.
Hee kuna Raia wa Tanzania anayeruhusiwa kumiliki silaha za kivita! kwani tunaponunua magari kama ya Polisi Wazungu wametushurutisha! Kama tunauana ni kwasababu tu ya uroho na akili za kiafrika si Wazungu.
Ununue silaha umchape ndugu yako barabarani halafu umsingizie George Soros! please
Mzungu anatuuzia vyama vingi ili tupate sababu za kuwindana haalfu tunanunua silaha za kina Soros sawa na kina Somalia, Sudan, Nigeria hapendi uwepo wa umoja wa waafrika aliouimba Bob Marley anajua madhara yake.
Chama kimoja kilifeli! tulikuwa nacho, CCM!
Teknolojia China wanazo za kwao Tanzania anavumbua kitu gani cha maana?. Ongezeko lao la watu haliwezi kuwasumbua wanazalisha kwa teknolojia za kisasa.
Kwasababu tunawekeza katika upuuzi, wao wanawekeza katika elimu na maarifa.
JokaKuu
 
Mkuu tunavyoongea hivi sasa imesambazwa mbolea mikoa yote kwa ajili ya hicho hicho kilimo.

Unataka kujilinganisha na China wakati wao mfumo wao wa uongozi hauingiliwi na nyinyi wanaharakati?. Siasa zao huwezi kuzifananisha na za nchi yoyote ya Afrika.

Huku Afrika tumeuziwa demokrasia ya kizungu katika mfumo wa maisha wa kiafrika!. Tatizo linaanzia hapo.

Mzungu anataka tuishi kwa uhasama siku zote atuuzie silaha, tuwe badala ya kuongelea uzalishaji mkubwa tuendelee kuwindana kama fisi na simba maporini!.

Mzungu anatuuzia vyama vingi ili tupate sababu za kuwindana haalfu tunanunua silaha za kina Soros sawa na kina Somalia, Sudan, Nigeria hapendi uwepo wa umoja wa waafrika aliouimba Bob Marley anajua madhara yake.

Teknolojia China wanazo za kwao Tanzania anavumbua kitu gani cha maana?. Ongezeko lao la watu haliwezi kuwasumbua wanazalisha kwa teknolojia za kisasa.

Mpaka muda tunavyoongea Tanzania imekuwa ikipeleka mahindi kwa hao hao Wakenya imepeleka msaada wa chakula Msumbiji na Malawi walipopata majanga ya mafuriko.

Mungu ibariki Tanzania.
hebu nitajie bei ya mifuko ya mbolea tofautitofauti kabla sijakujibu swali lako?
 
Kusambaza mbole si hoja, tumesambaza tokea Uhuru. The question is matokeo yake ni yapi tunaagiza chakula?
Kusambaza mbole kumesaidia vipi tatizo la ajira , kumeongeza vipi pato la Taifa. Kwanini utalii unazidi Kilimo ikiwa 90% ya Watanzania wanakitegemea.

Well, China imebadilishwa na WANAHARAKATI. Unajua Tianmen square na the Tank man?
Maandamano ndiyo yalifungua China, watu wakaruhusiwa kusafiri, kuwekeza , kuleta mitaji , kuiba teknolojia n.k

Ukienda Arusha kuna Hotel inaitwa 77! hapo ndipo Mkutano wa Nchi masikini ulifanyika na China ikiwa mojawapo. Leo Wenzetu ni namba 2 sisi bado tunahimiza kuchimba matundu ya vyoo.

A.Einstein alisema '' akili iliyotengeneza tatizo haiwezi kuleta ufumbuzi wake''. CCM miaka 65 tunahimizana kuchimba matundu ya choo yenye kina! Nyerere akiondoka shule zina vyoo vya kisasa , sasa hivi tunarudi 1940

Ulafi wa madaraka tu! Botswana, South Africa na Ghana wamewezaje!

Hee kuna Raia wa Tanzania anayeruhusiwa kumiliki silaha za kivita! kwani tunaponunua magari kama ya Polisi Wazungu wametushurutisha! Kama tunauana ni kwasababu tu ya uroho na akili za kiafrika si Wazungu.
Ununue silaha umchape ndugu yako barabarani halafu umsingizie George Soros! please

Chama kimoja kilifeli! tulikuwa nacho, CCM!

Kwasababu tunawekeza katika upuuzi, wao wanawekeza katika elimu na maarifa.

JokaKuu
Uwekezaji kwenye kilimo unakwenda sambamba na wa kwenye utalii, wazungu wanaleta pesa nyingi kwenye utalii kulinganisha na tija inayotokana na kilimo.

Biashara ya kilimo nyepesi kwenye karatasi lakini ngumu sana kufanyika kwa vitendo. Mapinduzi makubwa yanafanyika kwenye kilimo tusiziamini sana hizi nadharia za mitandaoni.

Habari ya matundu ya vioo ukiikariri utambue kwamba muda haugandii, habari ya miaka ya 2010 ukiiongelea leo ujue kwamba kuna mashule yametapakaa nchi nzima tena ya kisasa.

George Soros hajaanza hapa Tanzania afrika nzima anazunguka akitengeneza siasa za ugomvi ili auze silaha kwa wingi. Kuaza silaha Somalia, Sudan, Ethiopia hata kule kwa Boko haram.

JPM alikuwa sehemu ya akili hiyo hiyo iliyodumu na matatizo kwa miaka 60, aliweza sana kuja na mitazamo mingine ya kimaendeleo.

Kwa ujumla maendeleo ni mchakato wa muda mrefu sana. USA mwaka huu wanatimiza miaka 250 ya uhuru usione walivyo ukadhani ni kazi ya mwaka mmoja au miwili, safari ndefu yenye kujaa milima na mabonde.
 
Ziwa Victoria halijapungua maji. Bahari ya Hindi ipo Tang-Mtwara haijapungua
Mapori yasiyotumika kwa njia yoyote yapo kila kona ya nchi hii.
Upepo unaoweza kuzalisha nishati haujapungua. Jua linaloweza kutoa nishati halijapungua

China population mwaka 1977 ilikuwa 943 Milion( leo ni 2 B). China ilikuwa kundi la Group 77 lililofanya mkutano Arusha . India population mwaka 1977 ilikuwa 643 Million (leo ni 1.5 B)

China imetoka group 77 leo ni second Economy in the World. Tanzania bado tupo nchi masikini 25 Duniani

USA, Australia, Canada , New Zealand n.k. zina program za Immigrantion ili kuongeza population
Maana yake ni kwamba Population ni kitu muhimu katika Uchumi

Tatizo ni kwamba Population unaigeza vipi iwe Human Capital! Hapa tumefeli kwasababu viongozi wana mawazo kama yako ya kulaani population badala ya kuitumia kama Capital

India wanatumia Human Capital kwa Technology. Raia wanafanya remittance India, wanarudi kuwekeza India na kufanya mambo kama kurusha satelite kwenda anga za juu.

Kenya Wanafanya Human Capital ya Watalaam kwenda nchi za Ulaya.

Tanzania tumeshindwa kama unavyosema '' population imeongezeka hakuna resources'' STUPID

Tanzania inaweza kuwa 'Basket' ya Kilimo nchi za SADC na Africa. Hatuna excuse isipokuwa UJINGA

Tunatumia pesa nyingi kuendesha Bunge kuliko Elimu na Kilimo. Tunatumia pesa nyingi kununua V8 badala ya Matrekta. Tunatumia pesa kuagiza deraya za Polisi badala ya kuwekeza katika Utalii

Nanauka anapita kueleza nini! anajua India , Korea na China wamefanikiwa vipi. Maendeleo si kupanda juu ya V8 na kuhutubia bodaboda. Inahitaji akili kubwa!

JokaKuu
Hili andiko lako kila mwenye akili timamu akilisoma lazima roho imuume.
 
Back
Top Bottom