GE2025 Samia: Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata maana yake furaha ipo tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa
=============
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali yake ya awamu ya sita imefanya vizuri, akiahidi kuendelea kutia bidii zaidi katika kuwafanya Watanzania kuwa na uhuru na furaha.

Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 23, 2025 wakati wa Mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye Viwanja vya Tanesco Buza, Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam

"Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata, umeme unauona, unapopata kuwasha tv unawasha maana yake furaha ipo tu, ukitaka haki yako unaipata, michezo unacheza kwahiyo kwa eneo la furaha tumefanya vizuri na tunajipanga kufanya vizuri zaidi." Amesema Dkt. Samia.

Watanzania wengi hawana access na hivyo anavyovisema
Tena kama uhuru, ndo hatuna kabisa. Wengi tunaogopa kumkosoa
 
Huyu mama kachanganyikiwa

Kwa hiyo anabyoishi mtoto wake Abdul anadhani kila mtanzania ndo anaishi hivyo?

Haya ni matusi kwa Watanzania.
 
Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa
=============
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali yake ya awamu ya sita imefanya vizuri, akiahidi kuendelea kutia bidii zaidi katika kuwafanya Watanzania kuwa na uhuru na furaha.

Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 23, 2025 wakati wa Mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye Viwanja vya Tanesco Buza, Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam

"Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata, umeme unauona, unapopata kuwasha tv unawasha maana yake furaha ipo tu, ukitaka haki yako unaipata, michezo unacheza kwahiyo kwa eneo la furaha tumefanya vizuri na tunajipanga kufanya vizuri zaidi." Amesema Dkt. Samia.

View attachment 3492506

Maza is missing the point here. Hata watumwa walikuwa wanakula, wanakunywa na walikuwa na afya nzuri na furaha kule Misri lakini waliamua kuondoka kurudi kwao. Hao wanaoimba na kuigiza ambao wengi wao ni MACHAWA, wako wangapi ....!!?

Heche kakamatwa hadharani siku ya pili sasa hakuna anayejua yuko wapi .... au hiyo ndiyo raha yenyewe na yuko PEPONI ....!!?

Lissu na kesi ya Mchongo mmemuweka na Death row criminals au ndiyo PEPO yenyewe hiyo.

PEPONI ambako watu wanapotea kila kukicha .... seriuosly!!
 
1761297354736.png
 
Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa
=============
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali yake ya awamu ya sita imefanya vizuri, akiahidi kuendelea kutia bidii zaidi katika kuwafanya Watanzania kuwa na uhuru na furaha.

Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Oktoba 23, 2025 wakati wa Mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye Viwanja vya Tanesco Buza, Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam

"Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata, umeme unauona, unapopata kuwasha tv unawasha maana yake furaha ipo tu, ukitaka haki yako unaipata, michezo unacheza kwahiyo kwa eneo la furaha tumefanya vizuri na tunajipanga kufanya vizuri zaidi." Amesema Dkt. Samia.

View attachment 3492506
Kama ile ya Malkia wa Ufaransa- Hakuna mkate si mle keki ???? Na nchi ikaangushwa
 
Back
Top Bottom