Samia Kalamu Awards 2025

Samia Kalamu Awards 2025

SAMIA KALAMU AWARDS 2025

🇹🇿MGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

📍 The Super Dome - Masaki
📅 5 Mei, 2025
🕐 Kuanzia saa 12:00 jioni

View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290
Magufuli alikuwa kutwa nzima kuanzisha miradi na kuzinduwa miradi,lakini hakuwa na mda wa upuuzi kama huu,mwanaye anasema baba yake alikuwa halali kwa ajili ya kupitia mafairi,ile ilikuwa akili kubwa na tuliona maendeleo,huyu Mama kiatu cha Urais hakimtoshi akitaka awapishe wengine yeye aje awe waziri wa Sanaa utamaduni na michezo
Kwa mda mfupi washindani wetu wametupiga gape kubwa sana,kielimu,kiuchumi na kila kitu,inchi imegeuka ya kichwa na vipigo kwa polisi,Mungu inusuru Tanzania
 
Dah! Bongo walioshibishwa wanachowaza na kuongea ni ujinga ujinga tu! Sioni mipango ya maendeleo zaidi ya kuanzisha events za kijinga jinga tu na kujipendekeza kusiko na maana. Naona fedha nyingi zinatumika kumnadi mtu zaidi ya miradi laiti hizo fedha zingewekwa kwenye miradi ya vyoo mashuleni nahisi kila shule ingekuwa na vyoo bora na hivyo kujitangaza vizuri zaidi zaidi ya hizi drama tunazoziona.
 
Magufuli alikuwa kutwa nzima kuanzisha miradi na kuzinduwa miradi,lakini hakuwa na mda wa upuuzi kama huu,mwanaye anasema baba yake alikuwa halali kwa ajili ya kupitia mafairi,ile ilikuwa akili kubwa na tuliona maendeleo,huyu Mama kiatu cha Urais hakimtoshi akitaka awapishe wengine yeye aje awe waziri wa Sanaa utamaduni na michezo
Kwa mda mfupi washindani wetu wametupiga gape kubwa sana,kielimu,kiuchumi na kila kitu,inchi imegeuka ya kichwa na vipigo kwa polisi,Mungu inusuru Tanzania
Mswahili amezoea kushinda kwenye mikeka kupiga hadithi
 
Kumbe ndio siku hii mlilambishwa asali na kupewa script ya kutangaza matamasha yake ya wasanii anayoyaita kampeni kwa pesa za umma.
 
Back
Top Bottom