Samia Kalamu Awards 2025

Samia Kalamu Awards 2025

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
SAMIA KALAMU AWARDS 2025

🇹🇿MGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

📍 The Super Dome - Masaki
📅 5 Mei, 2025
🕐 Kuanzia saa 12:00 jioni



 
Futa upuuzi wako hapa unajaza bure server ya watu na matakataka yako, wenzako wanatumia gharama kubwa kulipia cloud server wewe unajaza matakataka yako hapa
uwe na uwezo wa kuyaona na kuyasikia usioyapenda pia hio ndo demokrasia lasivyo wewe ni dikteta uchwara ambae angekua na.bunduki ungetisha zaidi ya Sa100 na genge lake.
 
Kwan kila taarifa inayoripotiwa inakuhusu? Uliombwa kuifungua kama sio kiherehere chako? Mda mwingne ni hekima kukaa kimya sio kila kitu ucomment unaonekana kichaa
Dada angu nakuheshimu usinilazimishe nikujibu kipimo chake kitakuwa ni cha juu sn
 
SAMIA KALAMU AWARDS 2025

🇹🇿MGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

📍 The Super Dome - Masaki
📅 5 Mei, 2025
🕐 Kuanzia saa 12:00 jioni

View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290
Hivi kutoa habari ya kweli ya kujenga maendeleo ya nchi yako kisiasa na kiuchumi itayoweza kupinga uongozi wa serekali ya samia hio itakuwa Habari ya kizalendo itayopokelewa na Serekali nzima hadi Alieandika apate Hizo Awards?? ni Awards Kwa waandishi wanaosifia serekali bila kuiponda ndio wataopokea Awards?... Real Revolutions are NEVER televised
 
Back
Top Bottom