technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Mbona kama anaogelea chooni kwakeMsikilize huyo mwandishi wa Habari
Sasa wewe unaona kabisa mzee butku anazo?Siku akimsifia Samia mtasema hana akili kama mnavyomtukana Mzee Butiku
2030 ni mbali sana.....! Binadamu unapppanga mambo Yako, Mungu naye anapanga yake, mwisho unakaribia Mwishoni, not too far, alama za Nyakati zote zimejichora, huwezi hata kuona!?Samia ni kiongozi shupavu sana na atamaliza muda wake bila ya shida yoyote,pamoja na kupigwa vita na watu kadhaa
Mzee Butiku huyu chawa mzee aliyemlengesha Polepole auawe na kina Abdul au kuna Mzee Butiku mwingine ambaya perhaps ana akili timamu na si chawa?Siku akimsifia Samia mtasema hana akili kama mnavyomtukana Mzee Butiku