Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,851
- 3,064
Dikteta samuya ameuwa wapenda haki elfu 23 plus,akawafukia kama ng'ombe waliokufa na kimeta,akatoka mbele akajisifu kuwauwa wapenda haki elfu 23 plus,haikutosha akakejeli maiti na watu wanaomboleza kuuawa wapendwa wao,bado Dikteta anatamba,hii dunia ya ajabu sana