tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa mchakato wakupata Katiba mpya utakaika katika kipindi cha awamu ya sita.
Soma pia: Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM
“Pamoja na hayo CCM inatambua kwamba zaidi mshikamano wa Watanzania kwa kukamilisha mchakato wa Katiba mpya kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani yetu ya 2025-2030, haya ni matakwa ya makundi mbalimbali ya Watanzania kwa nyakati tofauti, tulijaribu wakati wa awamu ya nne mchakato haukukamilika, awamu ya sita tunaenda kuendeleza mchakato huo,” amesema Samia.
Samia amebainisha hayo leo, Ijumaa Oktoba 10, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Mwenge, Wilaya ya Butiama mkoani Mara na kuongeza kuwa hawatakubali nchi iyumbe kwa kisingizio chochote kile.