Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Aiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
Mbona hakuna tatizo lolote kasema YEYE NI MGOMBEA UBUNGE WA URAISIAiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
View attachment 3481323
Uzuri ni kwamba mnamsikiliza na kumfatilia kuliko ht wanaCCM wenyeweAiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
View attachment 3481323
Apite kwenda wapi? Maana hata anachokipigania sasa hivi sio rahisi kukifikia.tuanze kukosoa kwa staha sasa maana ikitokea amepita anaweza zifuja mali kwa hasira sana akikumbuka haya mambo 😁
si ikulu mkuuApite kwenda wapi? Maana hata anachokipigania sasa hivi sio rahisi kukifikia.
K Vant hiyo kudadadadeqAiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
View attachment 3481323
Kuwa na Rais kama huyu ni balaa kabisaAiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
View attachment 3481323
Tena aibu kubwa kbs Duniani!Kuwa na Rais kama huyu ni balaa kabisa
Huu ujinga unapatikana Tz peke yake.Hata AU Summit ni bunge la ma Rais kwahiyo yuko sahihi anagombea ubunge wa u Rais.
Kabisa mkuu nahisi ni adhabu labda Kuna sehemu tulikosea kwahiyo MUNGU anatuadhibuTena aibu kubwa kbs Duniani!