Samia ametoa ndege aina ya Boeing Dreamliner kwenda kuwachukua Taifa Stars nchini Morocco

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,

Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.

Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo

Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao

Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Kwahiyo asingetoa hiyo ndege wangerudi kwa miguu?
 
kam
Ila walifumuliwa vidali oktoba inakua yeye ndiyo muuaji!?
Mwafrika ni kama mweusi si wa langi tu hata akili.

Inabidituchunguzwe zaidi Kuona kama tunamefikia hadhi wa ubinadamu wa kawaida". Sijue hao wa bara nyingine wanatuchuliaje.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,

Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.

Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo

Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao

Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

linavyolia mabati hovyo humo ndani yaan lindege tiamaji tiamaj
 
Hivi huyu huwaga ana akili hata moja? Alisoma wapi? Amebakia kuwa chawa siku zote....Nchi inaangamia kwa kuwa na walamba matak* wa Samia.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,

Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.

Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo

Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao

Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Kwa hiyo toka watolewe Jumapili waneendelea kula bata tu hotelier....!!?
 
Kazi aliyopewa msigwa kumpamba mwanasesere ni ngumu mno!

Mahala linapotakiwa kutajwa jina la serikali/Taifa...linawekwa jina la mwanasesere!

Huyu mtu hapambiki wala kusafishika hata na jiki tu....

Huu upuuzi unafanya tu azidi kuchukiwa ! Badala ya kuziba nyufa! Ndio mnashika tindo kutindua!

Nimeamini serikalini kumejaa vilaza ni kupamba na kusifu hata visivyo na sifa! Hakuna mwenye akili timamu humo serikalini!
 
Back
Top Bottom