Samia amethibitisha alivyo mdini tena mzembe

Ni kweli. Uloandika yanakisi na kukusadifu wewe vilivyo kiasi cha kukuona mkweli kwa kueleza namna ulivyo mwanagu.
sorry mkuu hiyo comment imekuja kimakosa kwako ilikuwa ni ya dr wa manesi🙏🏽🙏🏽
 
Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake
Unataka umjue vipi; zaidi ya kupigania HAKI kwa waTanzania wote?

Unajuwa maana ya hiyo ni nini?

Utasemaje "hafai" wakati humjui kama ulivyo eleza mwenyewe!

Hizi mada nyingine mnazianzisha kiilevilevi sana.
 
Tundu lissu anapigania haki za chadema sio watanzania watanzania tunqjipigania wenyewe
 
Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi.

Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli. Kimsingi, amezidi kumpaisha Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake.
Anablid mwaka mzima
 
Next round kitengo waandae presida material.
 
Ndiye anayewalipa wale mashehe uchwara wanaotangaza chuki na kutishia kuchinja watu.
 
Tundu lissu anapigania haki za chadema sio watanzania watanzania tunqjipigania wenyewe
Kakwambia hivyo lini?
Haki za CHADEMA ni zipi, na zinatofauti gani na haki za waTanzania?
Sidhani kama unayo akili ya kutosha kuweza kupambanua hayo yote niliyo uliza; maana uandishi wako unaonyesha una uwezo mdogo sana wa uelewa.
 
Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi.

Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli. Kimsingi, amezidi kumpaisha Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake.
Kwasasa ameshakosana na WANANCHI, amejibanza JESHINI.

Anahubiri UDINI, akidhani WANEJESHI ni MAROBOTI yasiyo na DINI.
 
Back
Top Bottom