Tatizo ni kwamba wameingia upofu shauri ya Asali.....mlio karibu na huyo mama, mwambieni ukweli,huku mtaani hali ni mbaya sana.
imefika wakati hata akina sie ambao tulikuwa hatuna mahaba na jiwe, tumeanza kumkumbuka kwa mazuri machache aliyoyafanya.
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!
Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!
Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!
Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!
Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!
Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.
Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!
Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?
Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?
Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!
Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!
Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.
Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!
Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!
Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!
Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!
Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!
Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.
Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!
Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662
Alamsikhi!
10101.
Tatizo ni kwamba wameingia upofu shauri ya Asali.....
Angalia mfano kidogo hapa chini nimeambatanisha taarifa ya Mbunge huko singida!
Na haya Mambo yanafanyika kila kona nchi nzima kwenye hii miradi ya Samia.
Lakini hatujasikia mtu kakamatwa na kufungwa!
[emoji116]
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
[emoji116][emoji116]
Nawasalimu sana wandugu.
"Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha afya.
Nimekuta Ujenzi awamu ya kwanza almost umekamilika kilichobakia ni kufungwa masink pale maabara na flash doors.
Hapa tulipatiwa 250m.
Nitaambanisha picha
Awamu ya pili
Ujenzi wa majengo matatu
Upasuaji, Jengo la Wazazi na kufulia.
Kweli Ujenzi umesimama wiki ya tatu sasa mafundi hawapo site.
Nilichobaini:
1.Meneja Mradi Mwl Kinunda hakuwa anaishirikisha kamati ya Ujenzi ipasavyo hivyo kuvunja baadhi ya taratiibu za Manunuzi na kusababisha kutojulikana vifaa vilivyonunuliwa kwa mujibu wa muhtasrari maombi kama vilifikishwa vyote kwenye stoo.
2.Mabati yaliyonunuliwa yalikuwa ya migongo mitano badala ya mitano hivyo kusababisha upungufu wa bati 60 hivyi kushindwa kumalizia upauaji jengo la Wazazi na Upasuaji kwa maana hiyo gharama ya Manunuzi ilipungua kwenye bati so kuna salio ambalo halionekani.
3.Kikundi kinachojenga jengo la upasuaji Morning Star cha Makiungu kina maslahi ya mojakwamoja na meneja mradi hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi.
4.Saruji ilinunuliwa mifuko 1300 kwa sasa imebakia mifuko 125 tu.
Ukingalia kazi ilyofanyika hailingani na mifuko inayosemekana imetumika.
5.Frame za milango na Top zake bado hazipo site na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi anasema walijibiwa fedha imekwisha.
6.Kwa vifaa vilivyopo hata ukimuita fundi leo hakuna fedha za kuwalipa.
Haya ndio masuala mkubwa yaliyoibuka kwenye ziara yangu jana.
Nimeshauri nini kifanyike kunusuru mradi huu.
1.PCCB Wafanye uchunguzi haraka na wahusuka wachukuliwe hatua.
2.Ifanyike Evaluation ya mradi kupata thamani ya mradi hadi ulipofikia.
3.Meneja mradi amekosa sifa ya kuendelea kusimamia but alazimishwe kuonyesha fedha na vifaa vinavyopungua
4.Mkurugenzi apeleke msimamizi mwingine ili kusiwepo na kufunika ubovu uliojitokeza ili kuokoa mradi ukamilike kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma .
5.Wote waliohisika wachukuliwe hatua stahiki.
Mwisho niwajulishe DC na DED wameshaanza kuchukua hatua tayari PCCB wamefika Ntuntu kuanza mahojiano na wahusika..
Kwa sasa hii ndio taarifa niliyoikusanya,imani yangu wahusika watachukua hatua za mapema kumaliza utata uliojitokeza mradi ukamilike mapema"
Muambie Mamako awe mkali kdg bhn, wanamdharau!.Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.
Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Rais anapokuwa na mentality ya kibiashara hapo ndipo tatizo linapoanzia, anawaweka mahala pabaya sana wale wenye vipato vya chini.Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.
Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu!Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.
Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
"Malkia wa Nyuki" amelazimika kutembelea Wananchi jana huko Manyara baada ya Jiwe la Bash-Law kuupiga na kuutingisha Mzinga!astaghfirullah...tumerudi miaka kadhaa nyuma enzi za ufisadi na ubadhirifu wakati wa utawala wa kikwete. taifa linaenda shimoni.
hivi mama yupo nchini au yupo safarini nje ya nchi kama kawaida yake?....siku hizi hata sijishughulishi kufatilia uwepo wake. najionea taifa kama linajiendesha lenyewe kwa mfumo wa auto pilot
Nilikwisha sema Ma-Chawa mpo humu karibuni tuwaambie ukweli.Rais Samia sio mtu wa kufanyia kazi mihemko Wala majungu so unajichosha bure bwana Sukuma gang
Umeme na Maji sio madarasa ,vyote hivyo vitakuwa historia 2025.Nilikwisha sema Ma-Chawa mpo humu karibuni tuwaambie ukweli.
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
Kama hafanyii kazi mihemko....
Ilikuwaje jana kuitisha kikao cha kamati kuu CCM kwa dharula?
Na hakuishia hapo,akaanza na ziara mara moja!
Huko Singida na Manyara?
Jiwe la "Bash-law" liliupiga mzinga,na kumtoa
"Malkia wa Nyuki" akalazimika kutoka kwenda walau kuwaangalia wananchi huko site!
Hongera #Bashiru!
#BashirusioNdugai!
10101.
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!