Leo najisikia amani sana tu. Nataka kusambaza upendo.
Sasa kwa wale wanasheria wanaosoma vyuoni, au wanapenda kujisomea.
Nataka kugawa vitabu vya sheria vya Cambridge. Vipya vya mwaka 2012-2016
Sharti kuu,
Ukipata kitabu au notes leta hapa watu waweze kusoma kirahisi.
Usichapishe, ila soma wewe binafsi. That's fair dealing.
Nitarudi punde!