Hakuna tuendako kwa kocha huyu tuliyenae, in facts tutakuwa wa mwisho katika group hili, Tanzania tuna matatizo gani kichwani? salum namuyanga amecheza mechi zipi za kimataifa duniani hadi tumpatie team yetu? tunajifanya eti ohhh tunatakiwa tuwe na kocha wa ndani sijui ohhh uzalendo tunajidanganya, swala la kuwa na kocha wa ndani na tukafanya vizuri ni kwa nchi chache sana hapa Africa, pengine samatta akicheza katika league bora ulimwenguni akaacha soccer akirudi bongo ndo kidogo tunaweza kumfikilia kuwa kocha, kwa nini hatujiulizi kuwa kina "Benni McCarthy" ambae alicheza katika league za nje hadi kutwaa champions league na mourinho bado ni TV soccer analyzer (DSTV)to South Africa na hawampatii nafasi ya kuwa kocha? kuna mambo mengine DARASA ameshasema hayatakagi ujuaji, hili ndo shida la Tanzania, tuchukueni kocha wazuri kutoka nje tuacheni ujuaji, nimetaza mechi ya Taifa stars na harambee ya Kenya zote zina ujuaji ujuaji hakuna soccer wanalocheza, upuuzi tu, tujifunze walau kutoka Uganda ,the cranes, hawa ndo wanaocheza mpira wa kueleweka EAC. Hatujachelewa, tufukuzeni huyu kocha tulete foreigner haraka asimamie game ijayo, lasivyo hakuna jipya na tunapoteza muda tu hapa kusema tutaqualify hata tukicheza uwanjani 22 halafu team pinzani 9 hatuta qualify.