The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Mzuqa,
Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake.
Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia kuisambaratisha ngome ya Man City kesho katika fainali ya Carabao Cup.
Nawaonea huruma akina Mendy, gunduwan, Fernadinho na walker. Yani Samatta atawachakaza vibaya sana. Lazima Samatta atoke na hatrik believe and mark my words.
God bless Ally Samatta and Aston Villa.
Bofya hapo chini mwanajamvi
Titan of Tanzania: Samatta aims to thrill Villa faithful at Wembley