Samatta arudishwe timu ya taifa.Astaafu baada ya AFCON.

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,785
Reaction score
6,721
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON.

Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
 
Kwani akiwa timu ya taifa huwa anachanga nini hadi useme mchango wake unahitajika?
 
Ameifungia stars zaidi ya magoli 20 na anacheza ligi kubwa kuliko wachezaji wote wa stars.
 
Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON.

Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
SIONI SABABU YA KUMREJESHA SAMMATA MUACHENI APUMZIKE.
 
Ameifungia stars zaidi ya magoli 20 na anacheza ligi kubwa kuliko wachezaji wote wa stars.
Ameifungia stars zaidi ya Goli 20 kwenye mechi ngapi ukitoa magoli ya penalty Yule Jamaa kairudisha Sana Nyuma Taifa stars, Taifa stars ilitakiwa kuachana naye toka muda sana
 
Kabla yake hakuna cha maana stars iliwahi kupata.
 
Apumzike wakati anaendelea kucheza kule ligue one? Bora Samatta mzee kuliko hao wachezaji wa simba na yanga.
Apumzike timu ya taifa kama anavodai yeye..MSUVA na SAMMATA bora hata MSUVA. MSUVA akisema anastaafu naweza hata kutetemeka kwasababu huwa anaisaidia timu pale matumaini hayapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…